Virat Kohli Kuachia Unahodha.

Mchezaji wa timu ya Bangalore na timu ya kriketi ya India, Virat Kohli, ametangaza rasmi kuachia unahodha wa timu ya India.

Kohli amekua akiiongoza timu hiyo kwa muda na sasa anaona ni muda sahihi kwake kupunguza baadhi ya majukumu ambayo alikua nayo ndani ya miaka 9 ya kucheza kriketi.

Kwa mujinu wa Virat Kohli, ataachia nafasi ya unahodha baada ya mashindano ya T20 World Cup na kuanzia hapo, ataendelea kubaki kama wachezaji wengine kwenye kikosi cha India Twenty20.

Ligi ya IPL itaanza kuchezwa wikiendi hii. Unaweza kubashiri michezo ya kriketi ukiwa na Meridianbet. Bofya hapa kuingia mchezoni na kuzifuata Odds Bora!


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe