Beki wa klabu ya Manchester United Harry Maguire anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa kutokana na majeraha ambayo ameyapata katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya …
Makala nyingine
Mabosi wa klabu ya Manchester United wameendelea na vikao kwa siku ya pili mfululizo wakijadili hatma ya kocha wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag ambaye …
Taarifa kutoka nchini Italia zinadai kuwa nyota wa Juventus, Gleison Bremer atafanyiwa upasuaji wa goti mjini Lyon leo. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil alipata jeraha mbaya katika mchezo …
Kocha wa Ufaransa Didier Deschamps anafuraha kwamba Paul Pogba anaweza kurejea uwanjani Machi 2025 lakini anakiri kutakuwa na majadiliano na Juventus. Kufungiwa kwa miaka minne ya Pogba ya kutumia dawa …
Teun Koopmeiners amejiondoa kwenye kikosi cha Uholanzi na atarejea Turin kwa matibabu zaidi baada ya shirikisho la Uholanzi kufichua kuwa kiungo huyo mshambuliaji wa Bianconeri ana majeruhi madogo. Mchezaji huyo …
Mshambuliaji wa Fiorentina, Moise Kean amejiondoa kwenye kikosi cha Italia kutokana na maumivu ya mgongo, na Lorenzo Lucca atachukua nafasi yake. FIGC ilisema Jumatatu kwamba mshambuliaji huyo hatakuwepo kwa mechi …
Napoli wanatarajia kuendeleza mazungumzo na mshambuliaji nyota Khvicha Kvaratskhelia wakati wa mapumziko ya sasa ya kimataifa, kwani klabu hiyo imepanga mazungumzo kati ya wakala wa mchezaji huyo na mkurugenzi wa …
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepanga pia makundi ya klabu bingwa ambapo nchini Tanzania ni Yanga pekee ndiye anayeshiriki kombe hilo baada ya Azam kutolewa hatua ya awali. Yanga SC …
Shirikisho la soka Afrika (CAF ) limehitimisha kazi ya kupanga droo leo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo klabu ya Simba SC imepangwa Kundi A. Simba imepangwa …
Magazeti ya michezo ya Italia yanamkosoa kiungo wa Juventus Douglas Luiz, wakimwita usajili uliofeli baada ya kutoa mikwaju miwili ya penalti katika michezo miwili iliyopita. Kiungo wa zamani wa Aston …
Makubaliano ya pamoja ya kusitisha mkataba wa Pogba yanaonekana kama chaguo bora na suluhisho kwa mchezaji na klabu yake ya Juventus. Mazungumzo yataanza kesho baada ya uamuzi wa mwisho wa …
Mchezaji wa Real Madrid Éder Militão hataichezea Brazil mwezi huu kama Vinicious baada yakupata jeraha ambapo taarifa hiyo imetoka hii leo. Baada ya kufanyiwa vipimo vipya, mchezaji huyo amegundulika na …
Kocha wa Milan Paulo Fonseca alikasirika katika mkutano na waandishi wa habari baada ya kupoteza mechi kwa 2-1 dhidi ya Fiorentina na kusisitiza kwamba Christian Pulisic anapaswa kupiga mikwaju ya …
Bila shaka, De Gea anatajwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi baada ya kuokoa penalti mbili katika ushindi wa 2-1 wa Fiorentina, lakini hataki kujipongeza kwa hilo. Ulikuwa usiku usio wa …
Klabu ya Arsenal kwa siku nyingine imeshinda mchezo kibabe kwa kutokea nyuma kwenye mchezo ambao walikua nyuma dhidi ya klabu ya Southampton katika dimba la Emirates. Arsenal walikua nyumbani leo …
Golikipa wa klabu ya Liverpool Allison Becker ameripotiwa kupata majeraha ya misuli ambayo yalimfanya kushinda kumalizia mchezo wa klabu yake dhidi ya klabu ya Crystal Palace mchana wa leo. Golikipa …
Klabu ya Liverpool imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kupata matokeo ya ushindi leo dhidi ya klabu ya Crystal Palace wakiwa katika uwanja wao …