Hakuna tuzo za Ballon d’Or mwaka 2020 kutokana na “upungufu wa hali ya kiusawa,” France Football imetangaza hivyo.
Chapisho la Ufaransa, ambalo inaunganisha tuzo za kifahari kwa mpira wa miguu inaamii kwambaΒ athari za virusi vya Corona katika nyanja ya michezo inaonesha kwamba kutakuwa hakuna usawa katika kutoa tuzo hizo mwaka 2020.
Katika listi ya sababu zilizochapishwa zimeelezea maamuzi hayo, France Football imesema “Haikutaka kuweka alama” kwenye tuzo kutokana na kuwepo kwa sababu zilizo jitokeza, iliongeza kwa kusema “mara zote tuta husika katika maumivu kidogo katika historia yetu mpaka kovu kubwa.”
Itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa Ballon d’Or mwaka 1956 kwamba mfumo wa upigaji kura kwa siri kuamua mchezaji anaye stahili hazitafanyika mwaka huu.
Nyota wa Barcelona Lionel Messi ndiyo mwenye rekodi ya kuchukua mara nyingi zaidi tuzo hiyo (mara sita) mwaka jana huku kwa upande wa wanawake ikichukuliwa na mshambuliaji wa marekani Megan Rapinoe.
Mwezi machi michezo ilisimama ulimwenguni kote baada ya maambukizi ya COVID-19 kusambaa kwa haraka.
Ingawa Premier League,LaLiga, Serie A na Bundesliga ziliendelea mwezi Juni na kuchezwa bila mashabiki wakati Ligue 1 ilikuwa ni moja ya ligi zilizo katisha ratiba yake kabla ya kufika mwisho.
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako yaΒ MeridianbetΒ unapata 5% bonasi.
Issa
Habari mbaya kwa wapenzi wa football dah team mess na team ronald tutazikosa 2020
Leonard
Hii si habari nzuri kwa wapenda soka
Amiri Kayera
Duh sio pw
Samiah
Nihabari zakuckitisha
Emmy cleopa
Duuuh sio vizuri
Saupha mohamed
Daaah kwa nini
Shafii
Duh! Watu tulikua tunataka kushuhudia kwa Mara nyingine akikabiziwa mfalme wa soka messi.
devotha
duuh! hii ni habari mbaya sana
Hope mwaikuka
Hii yote sababu ya corona
Gabriel
Duuuh! Habar mbaya kwa waliohitabgazia mapemaπππ
Tahiya
Ni taarifa mbaya kwa mashabiki
Povel tz
Gud news
Frank Patrick
Hii mijitu hii inafanya vitu vya kukera waz waz sasa hapa ufea uko wapi? Kweli tuzo ya ronaldo na messi hii
Theonestina
Duuuh atar
Dorophina
Habari ya kusikitisha sana hii kwa mashabiki wa soka
Genia Sikaluzwe
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa soka
Franky
Tumuache messi hashike shike histolia yake kidogo banaa wactoe tu corona cndio mchawi banaa
Theckla
Duuu watu wamekosa tuzo waliostahili
MnonganeJR
Daa!! Habari mbaya kwa wapenzi wa soka#meridianbettz
Omary lukumbi
Hii sio habar mzr kwa wapenda football
Elika
Hii sio habar njema kwenye soka
aisha
Vorona imetunyoma uhondo
caroline
mhhh hali ya kiusawa kivp
Ester jackson
Habari mbaya sana kwa sisi mashabiki mana corona inafanya watu tushindwe kupiga kura ya ballon d,or
Zuhura omary kindamba
Hii ni habali mbaya
Magdalena
Habari hizi si za kuleta faraja
Zeiyana
Tunzo kama tunzo ni pongezi kwa wachezaji ambao walio fanya vizuri so hitakuaje kama hizo tunzo zitakua azitolewi
Tatu
Sa itakuwaje kwa mzee cr7 na bwana mess maana ndio wanaoshindanishwa kila siku
Flomena
Doooo so sad
JULIANA
Jamani π€π€
felister
bad news
Lydia Emmanuel Magoti
Hii sio habari nzuri kwa wa penda soka
Isaya massawe
Corona imevuruga mambo
mwakalosi
messi messi messi kwa vile hana mafanikio na timu yake wameamua kufuta kumbe ulaya napo kuna urasimu kama bongo tu
Salma
Dah! mambo yamekuwa magumu kila upande
Ernest
Acha Messi aendelee kubaki nayo kwa muda kwanza
Furahav
Daah majanga
sabrina
Duuh!! hii corona imeharibu vitu vingi sana havijaenda sawa
Neema juma
Aisee hii taarifa sio poa kabisa
Njiku
Ebwanaeeh hii mbaya sana
Rehema
Duuuh majanga
Khadija
Hii si habari nzuri kwa wapenda soka#meridianbettz
Mwanahamisi
Hii ni habari mbaya
Samira
Duuu hii habara sio nzuri hata kidogoππππππ