Uchambuzi Mechi ya Leo Aston Villa vs Arsenal.

Aston Villa kuendelea na vita ya kufa na kupona kupigania kubaki Ligi Kuu wakati wanapowakaribisha Gunners huko Villa Park  saa 04:15 usiku

Villa wako nyuma alama tatu kutoka kwenye eneo salama la kubaki Ligi Kuu, wakiwa na michezo miwili iliyobaki, kwa hivyo kikosi cha Dean Smith kinahitaji kupigania ushindi tu dhidi ya Arsenal Jumanne hii na Westham Jumapili ili kujihakikishia walau nafasi ya kubaki EPL.

Kwa upande wa Arsenal, kikosi cha Mikel Arteta kimekuwa na wiki babu kubwa, baaada ya kupoteza kwenye London derby dhidi ya Spurs – Gunner walijipanga upya na kuwapiga mabingwa Liverpool na kisha kutinga Fainali ya Kombe la FA Cup kwa kuishangaza Manchester City ya Pep.

Matumaini ya Arsenal kufuzu katika Ligi ya Europa msimu ujao ni madogo, lakini Arteta atataka kujiimarisha kwa kuendeleaza fomu bora ya ushindi ili kubeba Kombe la FA na kumshawishi mmiliki Stan Kroenke kutoa mkwanja wa kutosha ili azame katika soko la usajili la msimu wa joto.

H2H: Aston Villa vs Arsenal

Arsenal wametawala sana katika mechi za Ligi dhidi ya Villa, wameibuka na ushindi mara 27 katika michezo 49 waliyokutana na Aston Villa, sare michezo 14 na kupoteza mara 8 tu.

Gunners wameshinda mechi 5 mfululizo zilizopta dhidi ya Villa, ikiwa ni pamoja na mchezo wao wa mwisho walipokutana, wakifanya comeback na kushinda 3-2 Emirates mwezi Septemba.

Odds za ushindi ndani ya Meridianbet:

Villa Kushinda: 3.40
Arsenal Kushinda: 1.95
Sare: 3.50


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma hapa zaidi

51 Komentara

    Aston villa wanatakiwa wa jikaze

    Jibu

    Aston villa kaza buti ubakie epl

    Jibu

    Leo hapatoshi

    Jibu

    Kaz kazin

    Jibu

    Astoni Vila wana wachezaji wazuri sana ila wanaubaguzi sana na ukiangalia timu wanayo cheza nayo ni timu hambayo inafukia makosa yao ya nyuma so kama hatafanya makosa yao yale yale watapigwa nyingi sana

    Jibu

    Arsenal ushindi lazima hapa

    Jibu

    Arsenal ingewaonea huluma

    Jibu

    Aston villa nguvu ya ziada inahitajika kwa kweli

    Jibu

    Arsenal jesh

    Jibu

    Aston villa jeshiiiii

    Jibu

    sammata….wanatakiwa wajitahid

    Jibu

    Aston villa jeshii

    Jibu

    Wanyakyusa tunasema mbombo ngafu nadhan tumeshaelewa na inabid Aston villa wajipange sana kiukwel kwan Aston Villa italazimika kushinda mechi zake zote mbili za mwisho dhidi ya Arsenal na West Ham iwapo inataka kusalia katika ligi ya Premia , kulingana na kocha Dean Smith.
    Villa ilinyimwa ushindi mzuri wa ugenini wakati mchezaji wa ziada wa Everton Theo Walcott alipofunga bao la dakika 87 ili kusawazisha bao la Ezri Konsa.
    Kikosi cha Smith kina pointi tatu chini ya nafasi bora ya kusalia katika ligi , na mechi moja ya nyumbani dhidi ya Arsenal Jumanne ijayo na baadaye kucheza mechi yao ya mwisho ugenini dhidi ya West ham tarehe 26 mwezi Julai .
    Na kwa upande wa Arteta wazee wa mizinga wamuukize kijogoo kilivyofanywa Arsenal Emirates jeshi la mizinga

    Jibu

    Leo apatoshiii

    Jibu

    Maoni: Daaa nawaonea huruma ila mpira dakika 90

    Jibu

    Aston villa safari ishawadia.

    Jibu

    Vilaa hakuna wanachotafuta now maana kwa muonekano tu wameshashuka, wajipange msimu ujao

    Jibu

    Mimi leo karata yangu naitupa kwa Aston Bill kwani watapigana ipasavyo ili kubaki ligi kuu na Arsenal watakua wamebweteka na ushindi walioupata mfululizo huku wakidhani Aston Villa timu ambayo inatakiwa kushuka daraja watalegeza kwenye michezo huo.Samata Kama atatupia leo

    Jibu

    Naiombea isishuke daraja

    Jibu

    Mechi ngumu sana kwa Aston villa Ila kama watakuwa katika kujiamini wanaweza kumfunga arsenal kiurahisi tu .tumeona mechi za arsenal alizo shinda mfululizo ni kwa sababu kocha wao aliangalia makosa yako wapi na hasaivi wako vizuri wanashinda hata timu ambayo inashika nafasi ya pili inafugwa na arsenal mm ninaamini kuwa Aston villa wanaweza kufanya mabadiliko kama watakuwa wamejipanga vizuri na kila mchezaji akacheza katika nafasi yake wanashinda kirahisi tu lakini wasipo kuwa makini watapigwa tena nyingi tu.&&meridianbettz

    Jibu

    Mtanange wa kukata na shoka..

    Jibu

    Aston villas anatakiwa ajikaze kwa kufa na kupona ili ajikwamue kwenye ili aendelee kubaki EPL

    Jibu

    Tisha sana meridianbet

    Jibu

    Astn villa ushindi lazma.

    Jibu

    Aston villa win

    Jibu

    Arsenal ushind ni lazima arsenal Sasa ivi iko vizur sana

    Jibu

    Arsenal the fake robin hood

    Jibu

    Aston villa jeshi#meridianbettz

    Jibu

    Ilikuwa mechi kali

    Jibu

    Aston villa win

    Jibu

    Leo hapatoshi

    Jibu

    Aston Villa walijua kuucheza mpira walijua kutetea nafasi vizur

    Jibu

    Dakika 90 zitaamua mshindi nan#meridianbett

    Jibu

    Aston villa wapo nyuma sana

    Jibu

    Mmmh hatar

    Jibu

    Leo ngoma ngumu kwakweli

    Jibu

    Samatta lazma afanyevyake

    Jibu

    Aston villa inatakiwa apambane asishuke daraja

    Jibu

    arsenal tunafel wapi jamani 😭😭😭

    Jibu

    Aston villa fanyeni yenu

    Jibu

    Aston villa jana wamecheza kwa umahili mkubwa sana

    Jibu

    Ilikua bonge la mechi

    Jibu

    Uchambuzi ulikuwa mzuri Sana na kilichambuliwa Ndio kilchotokeaa

    Jibu

    mechi ilikua nzuri sana

    Jibu

    Ilikua atalii sana jana

    Jibu

    Mechi itakuwa kalii Sana hii namngoja samata nione maujuzi yake

    Jibu

    Mpira dakika90 tutapata matokeo

    Jibu

    kimoja tu cha nguruwe kimemtosha arsenal na timu mzima wameangaika nayo

    Jibu

    Aston villa fanyen yenu#Meridianbettz

    Jibu

    Ulikuwa mtanange watari

    Jibu

    Hii hatari sana.

    Jibu

Acha ujumbe