Nyumbani Daily News

Daily News

cHELSEA

Chelsea Waungana Na United Kumuwania Kounde

0
Klabu ya Chelsea imeungana na Manchester United kutaka kuwania saini ya mchezaji wa Sevilla Jules Kounde ambaye ameendelea kuonesha maajabu makubwa katika mechi ya mwisho ya Ufaransa dhidi ya Portugal katika Euro 2020. Jules kounde aling'aa sana msimu uliopita akiwa...
uefa

UEFA Kufuta Sheria Magoli Ya Ugenini

0
UEFA imeamua kutangaza leo kuwa imefuta sheria ya magoli ya ugenini kutambua ushindi wa mechi za mtoano za klabu za UEFA na itaanza rasmi msimu wa 2021/2022. Taarifa rasmi kutoka UEFA ileleza kuwa, "Kufuatia mapendekezo kutoka kamati zote za michuano ya...
Baada ya Siku 2,085 Benzema Aifungia Tena Ufaransa

Baada ya Siku 2,085 Benzema Aifungia Tena Ufaransa

0
Karim Benzema aliweza kuifungia tena timu ya taifa ya Ufaransa baada ya siku 2085 kupita kwenye mchezo dhidi ya Ureno katika michuano inayoendelea ya Euro 2020 huko Puskas Arena mchezo uliyomalizika kwa 2-2. Mchezo wa mwisho Benzema kuifunga Ufaransa ilikuwa...
euro 2020 portugal

Euro 2020, Raundi Ya 16 Kibabe Sana!

0
kama umekuwa mfuataliaji wa michuano ya Euro 2020, basi utakuwa muhumini mkubwa sana wa namna mechi zinavyopanga na matokeo ya utofauti yanavyopatikana. Kama ulishangazwa na hatua ya makundi, subiri 16 bora utashangaa zaidi. Timu 16 zimefanikiwa kuingia hatua ya 16...
Messi na Barcelona Damudamu Mpaka 2023

Messi na Barcelona Damudamu Mpaka 2023

0
Leo Juni 24 ni siku ya kuzaliwa Lionel Messi mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye uliwmengu wa soka anatimiza umri wa miaka 34 akiwa amepata mafanikio makubwa kwa ngazi ya klabu lakini bado ana deni kubwa kwa timu ya taifa...
Tokyo 2020

Tokyo 2020, Andy Murray Kikosini Uingereza.

0
Kuelekea mashindano ya Olympics yatakayofanyika Tokyo 2020, Japan - Andy Murray ajumuishwa kwenye kikosi cha Uingereza. Bingwa mara mbili wa Olympics atachuana na Dan Evans kwenye mpambano wa mchezaji mmoja mmoja na atashirikiana na Joe Salisbury katika timu ya...
Liverpool Kwenye Mbio za Kumnasa McGinn.

Liverpool Kwenye Mbio za Kumnasa McGinn.

0
  Klabu ya Liverpool inahusishwa na kumsajili kiungo wa Aston Villa na Scotland, John McGinn katika dirisha hili la majira ya kiangazi. Kulingana na jarida la The Athletic, Kocha Jurgen Klopp anamkubali kiungo huyo wa Villa na anatamani mchezaji huyo angetua...
Championship

Championship Kuunguruma Agosti 7,2021

0
Ratiba ya michezo ya kwanza kunako Ligi ya Championship inaonesha West Brom Albion kuanza msimu dhidi ya Bournemouth. Agosti 7, 2021 kipenga cha kwanza kuashiria mwanzo mwa msimu mpya wa ligi ya Championship kitapulizwa rasmi. West Brom, Fulham na Sheffield...
Sergio Ramos

Sergio Ramos Karibu Kusogea PSG

1
Paris Saint-Germain wamefikia hatua nzuri na Sergio Ramos juu ya uhamisho wake baada ya kutoka Real Madrid, kwa mujibu wa ripoti. Mhispania huyo mkongwe amekuwepo kwa miaka 16 pale Bernabeu, lakini sasa anatafuta klabu mpya baada ya kuthibitisha kuwa ataondoka...
Joachim Low

Joachim Low vs Uingereza, Hata Siogopi.

1
Baada ya kukuru kakara za hatua ya makundi kunako Euro 2020, Ujerumani imefuzu hatua ya 16 bora. Joachim Low atoa neno kuelekea mchezo dhidi ya Uingereza. Ujerumani watawafata Uingereza Jumanne ijayo kwenye dimba la Wembley. Viwango vya timu zote mbili...

MOST COMMENTED

Mashabiki wa Man U Wanavyomkosea Pogba

0
Paul Pogba amekuwa mchezaji muhimu sana kwa Manchester United, amekuwa na mapenzi ya dhati na klabu na kujitahidi kucheza kadri ya uwezo wake. Uchezaji...

HOT NEWS