Nyumbani Daily News

Daily News

Jinsi ya Kujiunga Meridianbet Tanzania

52
Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo...
Caf Yatoa Ratiba Ligi ya Mabingwa na Shirikisho.

Caf Yatoa Ratiba Ligi ya Mabingwa na Shirikisho.

41
Shirikisho la soka barani Afrika "CAF" limetoa ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya Kombe la Shirikisho. Katika Klabu Bingwa Afrika, Mechi za mkondo wa kwanza ni tarehe 25 na 26 Septemba na mkondo wa pili...
Vilabu 10 Tajiri Afrika 2020.

Vilabu 10 Tajiri Afrika 2020.

25
Vilabu 1⃣0⃣ tajiri Afrika mwaka (2020): Ifuatayo ni orodha ya Vilabu Tajiri katika Bara la Afrika kwa mwaka 2020, kulingana na jarida la Googleboys. 1.🇪🇬 Al Ahly - USD $28 million 2.🇿🇦 Kaizer Chiefs - USD $23 million 3.🇪🇬 Pyramids fc - USD...
Manuel Neuer

Neuer: Nitastaafu Nikichokwa!

1
Timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Bayern Munich ambayo inashiriki ligi nchini humo bado zina utegemezi wa hali ya juu kwa mlinda mlango Manuel Neuer ambaye ana rekodi ya aina yake ndani ya taifa na klabu hiyo....
Zifahamu Sheria na Kanuni 17 za Mpira wa Miguu.

Zifahamu Sheria na Kanuni 17 za Mpira wa Miguu.

47
Kama mdau wa michezo natumaini utavutiwa makala haya yanayohusu Sheria mbalimbali na Kanuni za Mpira wa Miguu. 1. UWANJA. Kwa kawaida uwanja wa mpira wa miguu huwa na Urefu wa mita 100 - 120 na Upana wa mita 50 - 90...

Arsenal Waachana na Gunnersaurus

31
Inaripotiwa kwamba klabu ya soka ya Arsenal imeachana na Jerry Quy, mtu aliyekuwa nyuma ya mdori wake wa uwanjani (MASCOT) anayefahamika zaidi kama Gunnasaurus, na jamaa hatakuwa anatumika tena na klabu hiyo kama sehemu ya shamra na hamasa. Sababu kubwa...
AJ Joshua

AJ: Tyson Anajua kwa Kunipata!

8
Bingwa wa ndondi Anthony Joshua amememwambia Tyson Fury kuwa ikiwa anataka kupambana na yeye anafahamu wapi kwa kumpata. AJ na Tyson Fury wanaweza kupanda ulingoni mara mbili mwaka huu, huku pambano la kwanza likitarajiwa kuwepo mwezi Juni, na bingwa huyu...

Viungo Bora Duniani kwa Sasa

2
Luka Modric amekuwa mchezaji wa kihistoria baada ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or ambayo haihusishi uwepo wa Messi na Ronaldo kwa miaka ya hivi karibuni. Mchezaji huyo ametwaa tuzo hiyo baada ya kupitia kipindi kikubwa cha mafanikio makubwa kisoka....
Lampard and Fikayo Tomori

Lampard Athibitisha Fikayo Tomori Kuondoka

15
Kocha wa Chelsea Frank Lampard anathibitisha Fikayo Tomori 'anaweza kwenda kwa mkopo kwa ajili ya kujiboresha zaidi' wakati uhamisho wa beki huyo kwenda Milan ukikaribia. Milan wanaripotiwa kuwa karibu na saini ya mchezaji huyo wa miaka 23 kwa mkopo huku...
EPL

Jezi Mpya za Timu Kubwa Zilizovuja

35
JEZI MPYA ZA TIMU KUBWA ZILIZOVUJA MTANDAONI, IPI INAKUVUTIA ZAIDI? Baada ya Bundesliga kurejea Mei 16, EPL, Seria A na La Liga nazo zipo mbioni kufanya hivyo ili kuukamilisha msimu wa 2019-20. Ligi hizo zinarejea ili kupata mabingwa wake msimu huu...

MOST COMMENTED

Pengo la Hazard Halina Mwenyewe – Drogba

7
Kwa mujibu wa wa aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, nyota Didier Drogba, pengo la Eden Hazard klabuni Cheslea halina mchezaji anayeweza kuliziba kwa...
ABSA

Ligi Tajiri Afrika

HOT NEWS