Sunday, October 2, 2022
Nyumbani Daily News

Daily News

Ligi 10 Bora Barani Africa 2022.

Ligi 10 Bora Barani Africa 2022.

0
Makala hii inachanganua Ligi 10 bora barani Africa ambazo zimepangwa kutokana na vigezo mbalimbali ikiwemo alama ambazo wamezipata katika mashindano mbalimbali ya CAF kwa nchi na ngazi ya vilabu. 1. Morocco – Botola Pro Ligi ya Morocco inaweza kulinganishwa na baadhi...
dejan

Dejan Avunja Mkataba na Simba.

0
Dejan Georgijevic mshambuliaji wa Simba amethibitisha kuachana na klabu hiyo baada ya kuposti kwenye mtandao wake wa kijamii baada ya muda mfupi wa kuwepo klabuni hapo. Siku kadhaa nyuma kumekua na stori ya kutokua na maelewano na baadhi ya wachezaji...
uefa champions league

Uefa Champions League Imerejea tena.

0
Uefa champions league imerejea tena na kuanza kutimua vumbi leo tarehe sita ya mwezi wa tisa mwaka 2022. Pazia la ligi ya mabingwa barani ulaya ambalo linafunguliwa rasmi usiku wa leo na timu tofauti tofauti zitakua uwanjani kusaka alama tatu...
Zifahamu Sheria na Kanuni 17 za Mpira wa Miguu.

Zifahamu Sheria na Kanuni 17 za Mpira wa Miguu.

47
Kama mdau wa michezo natumaini utavutiwa makala haya yanayohusu Sheria mbalimbali na Kanuni za Mpira wa Miguu. 1. UWANJA. Kwa kawaida uwanja wa mpira wa miguu huwa na Urefu wa mita 100 - 120 na Upana wa mita 50 - 90...
Kujisajili Meridianbet | Kujiunga Meridianbet | Kufungua Kaunti Meridianbet

Jinsi ya Kufungua Akunti: Jinsi ya Kujiunga Meridianbet

52
Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika ubashiri au michezo ya bahati nasibu kwa jina lingine maarufu kama 'Kubeti'. Kampuni hii kwa sasa ina maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na...
Fiston Mayere

Fiston Mayere kweli Asaini Kaizer Chief?

0
Nyota mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Fiston Mayere ameteka mitandao ya kijaamii kutokana na tetesi ambazo zimekuwa zikisambazwa kuwa tayari ameshasajiriwa na klabu inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini Kaizer Chief. Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi zinazothibitisha usajiri wa...

Ibrahim Class Ashinda kwa KO

0
Bondia Mtanzania Ibrahim Class ashinda kwa KO katika raundi ya tisa hapo jana katika mshindano ya ngumu ambayo yameanzishwa na muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji maarufu kama (Mo Boxing) ambapo bondia huyo alikuwa akizitwanga na Alan Pina kutoka Mexico.   Ibrahim...

Simba Kucheza Mechi ya Kirafiki Leo

0
Klabu ya Simba itacheza mchezo wa kirafiki hii leo dhidi ya Malindi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Stadium majira ya saa 2 na robo usiku, ambapo mechi hiyo itakuwa ya kujiimarisha kujiandaa na mechi zijazo za Ligi pamoja...
ali kamwe

Ali Kamwe Anukia Uafisa Habari Yanga.

0
Ali Kamwe mwandishi na mchambuzi wa soka katika kituo cha Azam Media inasemekana anakaribia kutangazwa kama Afisa Habari mpya katika klabu ya Yanga. Baada ya aliekua afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli klabuni hapo klabu hiyo ilitangaza nafasi ya kazi...
Brazil Namba 1 Kwenye Viwango vya FIFA

Brazil Namba 1 Kwenye Viwango vya FIFA

0
Timu ya taifa ya Brazil imerejea katika nafasi ya kwanza katika viwango vya FIFA miaka mitano baada ya kushushwa kwenye nafasi hiyo. Ushindi wa 4-0 dhidi ya Chile nyumbani na ule wa 4-0 dhidi ya Bolvia ugenini katika michezo ya...

MOST COMMENTED

Dau Litawakwamisha United Tena kwa Sancho?

8
Klabu ya Manchester United inatajwa kuwa tayari ipo kwenye maandalizi ya kuwasilisha ofa ya £80m kwa ajili ya kumsajili nyota wa Borrusia Dortmund, Jadon...
pochettino

Pochettino Aikataa Ofa ya Nice.

HOT NEWS