Nyumbani Daily News

Daily News

Low Hataki Wakongwe Anamipango na Vijana.

44
Thomas Muller aling'aa sana katika klabu ya Bayern Munich msimu uliyopita lakini kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low hana mpango wa kumuita mchezaji huyo. Low alitangaza kuwa Muller, Jerome Boateng na Mats Hummels hawakuchaguliwa kwenye kikosi...
Grealish kama figo tu

Grealish Ni kama Luis Figo Tu

3
Kocha wa sasa wa As Roma, Jose Mourinho amemfananisha mchezaji wa Aston Villa Jack Grealish na nguli wa soka wa zamani legendari Luis Figo. Zikiwa zimesalia saa chache tu kabla ya michuano ya EURO 2020 kuanza rasmi, Mourinho ametaja kikosi...
Leipzig Wanataka €30m kwa Nagelsmann.

Nagelsmann Akanusha Kufanya Mazungumzo na Bayern.

7
  Kocha wa RB Leipzig Julian Nagelsmann amesisitiza kuwa hajafanya mazungumzo yoyote na Bayern Munich juu ya kuchukua nafasi ya Hansi Flick huko Allianz Arena. Flick alitangaza Jumamosi kuwa anatarajia kuondoka Bayern mwishoni mwa msimu, na kocha huyo mwenye umri wa...
Kahata Aaga Msimbazi.

Kahata Aaga Msimbazi.

3
Mchezaji wa kimataifa wa Kenya Francis Nyambura Kahata ameandika ujumbe wa kuwaaga mashabiki katika ukurasa wake wa Instagram baada ya kudumu Simba kwa miaka miwili.   "Ilikuwa safari tamu, yenye kumbukumbu na machungu tangu siku niliyotua nchini Tanzania. Nilipewa support na...
Frank Ribery Bado Anaifikiria Bundesliga

Frank Ribery Bado Anaifikiria Bundesliga

16
Mshambuliaji wa Fiorentina Franck Ribery asingeweza kukataa kurejea Bundesliga. 'Kwa sasa, nafikiria tu juu ya Viola'. Winga huyu wa Ufaransa aliwasili Florence kwa uhamisho wa bure kabla ya 2019-20, lakini mchezaji huyo wa miaka 37 amesimamishwa kwa majeraha tangu alipohamia...
Eden Hazard Anavutiwa Kurudi Chelsea.

Eden Hazard Anavutiwa Kurudi Chelsea.

56
Mshambuliaji wa pembeni wa Mabingwa wa Hispania Real Madrid, Eden Hazard amesema huenda akarejea jijini London kujiunga na waajiri wake wa zamani Chelsea, kutokana na kukoshwa na aina ya wachezaji wapya ambao wapo njiani kusajiliwa majira ya kiangazi. Hazard amesema...

Mchakamchaka wa Usajili Barani Ulaya.

14
Mambo yanazidi kupamba moto kwenye mchezo wa soka barani Ulaya. Mchakamchaka wa usajili haujawahi kuwa kitu kirahisi kwa wachezaji na timu mbalimbali. AS Roma huenda wakaachana na nahodha wao, Edin Dzeko. Hii ni baada ya mshambuliaji huyo kugombana na kocha...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

39
Tetesi zinasema Aston Villa itatangaza dau £30m la kumnunua mshambuliaji wa Celtic Mfaransa Odsonne Edouard, 22. Beki wa safu ya kati wa Lille raia wa Brazil Gabriel Magalhaes, 22, amekubali kujiunga na Arsenal na atakamilisha uhamisho wake wa £27m wiki...
“Bado Hatuwezi Kushindana!” – Kroos

“Bado Hatuwezi Kushindana!” – Kroos

0
Kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani kimekata tiketi ya kusonga mbele kwenye michuano ya Euro 2020 baada ya kuibuka na ushindi mnono sana kwenye mechi yake. Kikosi hicho, mbali na ushindi, bado kinaonesha kina changamoto katika ukomavu wake...
Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

12
Tetesi zinasema Manchester United ina hamu ya kumsajili mchezaji anayelengwa na Arsenal pamoja na Liverpool Yves Bissouma, mchezaji wa klabu ya Brighton na raia wa Malian mwenye umri wa miaka 24 ambaye ameonesha mchezo mzuri msimu huu. Tetesi zinasema Marseille...

MOST COMMENTED

Sikuwa na Corona, Tulihujumiwa – Ibenge

13
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya DRC, Florent Ibenge Ikwange, amesema hakuwahi kuwa na maambukizi ya virusi vya corona, lakini alilazimishwa kukaa karantini. Akiongea...

HOT NEWS