Imekuwa wiki chache za ubize kwa Conor McGregor baada ya kupigwa na Dustin Poirier, na kuvunjika mguu na kisha akadokeza juu ya siku zijazo katika UFC.

Abdelaziz: McGregor Anapenda Kutumia Madawa

Licha ya kutishia kurudi, meneja wa Khabib Nurmagomedov Ali Abdelaziz amekuwa miongoni mwa wale waliomshambulia vikali mpiganaji huyo.

“Conor sio mpiganaji wa kiwango cha juu, anapenda dawa za kulevya, jamaa,” aliiambia ESNews.

“Anahitaji kwenda sober house na kurekebisha tabia yake kwenye maisha yake. Haitaji kupigana.”

Bingwa huyo wa zamani wa UFC kwa muda mrefu amezungukwa na utata, lakini sio zaidi ya Nurmagomedov, ambaye McGregor alimcheka baada ya kifo cha baba yake.

Kufuatia kudundwa mara mbili mfululizo, kurejea kwa McGregor kunaweza kuwa sio rahisi kama vile anavyotarajia.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa