Taarifa kutoka ndani ya kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) zimethibitisha kuwa Shirikisho la soka barani Africa (CAF) Limemfungia kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kutojiusisha na michezo 8 kutokana na kauli zinazodaiwa za kichochezi. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Kauli za Kocha Adel alizonukiuliwa akiongea mbele ya vyombo vya Habari zimetafsiriwa kuwa ni za kichochezi zaidi kuliko kujenga. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
TFF nao, walitoa taarifa Rasmi ya kuwa wamemfungia Kocha huyo mechi nane za Mashindano ya CAF, kama ambavyo CAf wamefanya. Taarifa za Uhakika ni kwamba TFF inafanya mpango wa kumpata Mwalimu Mkuu wa muda atakayekishikilia kikosi kikiwa huko Ivory Coast.
Ni dhahiri baada ya mashindano haya ya AFCON kuisha Kocha Adel atakuwa amepoteza ajira yake ya kukinoa kikosi cha Stars. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Kwa sasa kikosi cha Tanzania kitanolewa na Hemed Morocco na kusaidiwa na Juma Mgunda ambaye aliongezwa kwenye benchi la ufundi la timua ya Taifa Stars licha ya mchezo wa kwanza dhidi ya Morocco kukaa jukwaani, kile kilichotafsiriwa na wengi ni kutrokuelewana na kocha mkuu Adel Amrouche.
Stars itakipiga na timu ya Taifa ya Zambia siku ya Jumapili 21/01/2024 majira ya saa2:00 usiku. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.