Antonio Conte anaamini kuwa kuna ajenda inayoendelea dhidi ya Klabu yake Inter Milan kutokana na kukosolewa na vyombo vya habari.
Conte anasema kuwa sio Inter Milan pekee wanakosea dimbani, kuna vilabu vingine vinavyofanya vibaya kuliko wao lakini hata haviangaliwi na kukosolewa kwa kiasi ambacho yeye na kikosi chake wabakosolewa na vyombo vya habari.
Inter walishindwa kuitumia nafasi waliyokuwa nayo kupunguza gepu la pointi dhidi ya Juventus hadi kufikia pointi tatu baada ya kulazimika kumaliza kwa sare dhidi ya Roma kwenye Serie A.
Ndani ya Stadio Olimpico, Inter walihitaji zaidi penalti ya Romelu Lukaku dakika ya 88 kubahatika kuambulia pointi moja dhidi ya Roma ambao matumaini ya kumaliza 4 bora yameyeyuka.
Kimsingi, Inter walishindwa kuitumia nafasi hii kujisogeza katika nafasi ya kuwa karibu na taji la Serie A kwa mara ya kwanza tangia 2009-10.
Inter wakiwa wamesalia na gemu 4 kwenye ligi, wapo mbele ya Roma kwa pointi 14 na pointi 16 zaidi dhidi ya Napoli na wamejiweka katika nafasi nzuri kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Kufuatia ukosoaji unaoendelea kwenye vyombo vya habari, Antonio Conte anaamini kuwa kuna agenda ya kuichafua klabu kwa kuona kila kitu kibaya.
Maneno ya Antonio Conte
“Ninasoma na kusikia kila mmoja anaikosoa Inter tu wakati timu zingine hazipo hata kwenye 4 bora. Nafikiri kuna ajenda dhidi ya Inter na kila kitu kinaonekana kibaya.”
“Lakini tunapaswa kuwa wakweli na kuona kile tunachokifanya na kile kinachofanywa na timu zingine. Tukiwa na mechi 4 tu zimesalia bado tunazungumzia kushinda taji, kitu ambacho haijatokea kwa miaka 10 sasa.”
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.
warda
Na hili swala la kukosolewa limemuuzi sana conte#Meridianbettz
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa meridinbet
Zeiyana
Inte wanastaiki kusemwa so kwa uwezo walio tuonesha huwezi khamini kama watashuka kiasi hicho so kuna clabu za kushuka lakini sio intel
Revina
Meridian sio wa kuchukulia poa kwa taarifa za michezo
Ester jackson
Antonio Conte anasema ukweli kabisa kuna vilabu ambavyo vimeshuka sana kimichezo nasio inter pekee haifanyi vizuri zipo nyingi tu ukiangalia Aston villa ilikuwa inafanya vizuri lakini hasaivi iko vibaya sana ukiangalia arsenal walisema sana japo ilikuwa iko kwenye nafasi nzuri waliisema na hasaivi inafanya vizuri kwahiyo kukosolea ni njia mojawapo ya changamoto inayo mfanya ajitahidi kutoka sehemu Fulani
Elika
Ameongea kile cha moyoni..kwann akosolewe yeye tuu kuamua mno konte
Neema juma
Kaongea yaliyoko moyoni mwake ili apate amani
David Pere
Kama anaona Kuna ajenda mbaya zidi take ajiuzuku kuifundisha hiyo timu ,na ukocha Ndio taaluma yake anawezakupata timu nyingine na akawa Kochi mzuri tu
aisha
Kweli anachokiongea Antonio conte kiukweli sio yeye tuu
Antony Luseno
Yupo sahihi conte mpira una matokeo matatu kushinda,sare na kufungwa
Lydia Emmanuel Magoti
Daa pole Antonio Conte kwakila unacho kifanya kinaonekana akifai kiukweli kitu kikiwa chawengi lazima kila mtu aseme anacho jisikia yeye Kama yeye anaonekana afanyi kitu Antonio conte
felister
vizuri kuyatoa ya moyoni Kama alivyofanya Conte mana ukikaa na kitu moyoni kinaweza kukuleta kiiungulia😂😂😂
Revina
Kaongea dukuduku lake wenda moyo wake utaridhika kwa ili .
Theckla
Kukosolewa ni njia moja wapo ya kuja funza
Issa
Inter ipuuzie habari za vyombo vya habari
Ipiganie ubingwa wa seria a
mwajumah
Kukosolewa ndio kujifunza#Meridianbettz
Tatu
Ameongea vitu sahihi
Sadick
Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe. Kwa uwekezaji wa Inter wengi walitarajia makubwa kwahiyo inawakatisha tamaa kwamba hawaoni matunda y uwekezaji huo#meridianbettz
Salma
Yupo sahihi
Magdalena
Mtu kama kakosea ni muhimu kukosolewa lakini kama kuna namna nyingine avumilie tu uenda kuna kitu anawazidi wanamuonea wivu
Ernest
Kawaida kwa waandishi wa vyombo vya habari kuongea mambo mengi mengi lakini Conte na wachezaji wake wanatakiwa kukaza buti na kufanikisha azma yao.
Mwanahamisi
Yuko vizuri
devotha
mbona Conte yupo vizuri tu
farida ahmadi
Conte ni kocha mzuri Sana pia inabidi yeye na timu yake kwa ujumla wakae waweke mamb sawa
Khadija
Yupo sahihi#meridianbettz
Rehema
Yuko sahihi
Isaya massawe
Kama vile ana gundu huyu jamaaa
Edgar
Hamna lolote wanavyo mkosoa conte. Nw intel milan imesimama sana
sabrina
Conte yupo vizur
Frank Patrick
Apige kazi waandishi wao ni content tu
Gabriel
Habar njema sana 👍
Furahav
Habari nzuri.
Fatuma kasomo
Yupo sahihi
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Dorophina
Ameamua kutoa ya moyoni konte
Hope mwaikuka
Sio poa buana kwann wao tu
Povel tz
Habar njema
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa meridianbettz
Shafii
Gud news.
Samiah
Ukitaka kujifunza usiogope kukosolewa
Amiri Kayera
Akili yao iwaz ubingw Wasianz visingizio
Asia Abdy
Wasonge mbele
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa
Genia Sikaluzwe
Alifanya vizuri kumkosoa ili ajifuze kitu kutoka kwake
Franky
Conte ana jua jamni duh.Ni kocha mzuli
Omary lukumbi
Conte yuko sahihi hao wanaokosoa mpira hawaujui au
caroline
Inter wasisikilize maneno ya vyombo vya habari
Zuhura omary kindamba
Conte yuko sahihi
Christopher
Juve washakuwa mabigwa hao wasubir tu msmu ujao
neema hassan
Yuko sahihi
Njiku
Gud news
Aziza mushi
Yupo sahihi