Arsenal Yaichapa Leicester City Ugenini.

Arsenal wamepata ushindi wao wa kwanza ugenini dhidi ya timu tatu bora za Ligi Kuu baada ya miaka sita wakati walipoifunga Leicester 3-1 siku ya Jumapili.

Washika bunduki walikuwa nyuma ndani ya dakika sita tu kwenye mechi na The Foxes wakati Youri Tielemans alipiga shuti la chini na kumpita Bernd Leno, lakini timu ya Mikel Arteta ilipambana baadaye wakati kipindi cha kwanza baada mpira wa adhabu uliopigwa na Willian ulikutana na kichwa cha David Luiz na kumfunga Schmeichel, kabla ya Alexandre Lacazette kufunga kwa nkwaju wa penati .

Nicolas Pepe kisha alimaliza kufunga katika kipindi cha pili wakati Arsenal walirekodi ushindi wao wa pili katika mechi sita za Ligi Kuu.

Mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa Januari 2015 walipoifunga Manchester City 2-0, wakati Olivier Giroud na Santi Cazorla walipofunga kubeba alama tatu kwa timu ya Arsene Wenger.

Willian na David Luiz waliweza kushirikiana kwenye kufunga bao la Gunners kwa mara ya kwanza, lakini wawili hao waliweza kufanya hivyo kushirikiana kutikisa nyavu kwenye Ligi ya Premia wakati walipokuwa Chelsea.


ENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

8 Komentara

    Arsenal kwa sasa wako vinzur

    Jibu

    Arsenal wanajitahidi sana kwa kweli

    Jibu

    Arsenal wamejitoshelezaa saiviiii

    Jibu

    Safi Arsenal

    Jibu

    Mko vizuri Arsenal

    Jibu

    Arsenal kwa sasa wako vizuri Sana 👍

    Jibu

    Pongezi kwao Arsenal

    Jibu

    Wametishaa

    Jibu

Acha ujumbe