Pierre-Emerick Aubameyang na Bukayo Saka wameuokoa msimu wa Arsenal baada ya kupata ushindi katika michuano ya Europa League kwa kuiondoa timu ya Benfica kwenye mashindano hayo.

Arsenal wamesonga mbele hatua inayofuata ya 16 bora kwa jumla ya magoli 4-3 baada ya kushinda 3-2 mchezo wa marudiano kufuatia kwenda sare ya 1-1 mchezo wa kwanza bao pekee lililofungwa na Saka upande wa Arsenal.
Kulikuwa hakuna nafasi ya kufanya makosa tena kwa Gunners baada ya kulazimishwa sare mchezo wa awali na msimu uliyopita timu ya Arteta iliondolewa kwenye michuano hii hatika hatua kama hii na timu ya Olympiacos.
Arsenal ilikuwa nyuma kwa 2-1 dakika thelathini kabla ya mchezo kumalizika lakini waliweza kujitafuta mpaka wakajipata na kusawazisha kupitia kwa mchezaji Kieran Tierney na Aubameyang alifunga bao la tatu dakika ya 87 na mpaka kipyenga cha mwisho kilipo pulizwa.
“Nina muamini kabisa,” Arteta alisema baadaya mchezo kuimalizika alipoulizwa kuhusu nahodha huyo wa Gunners. “Unajua Aub anapokuwa na nafasi, huwa anafunga.
Roma alikosa nafasi tatu ambazo kikawaida zilikuwa na goli tatu na alihitaji kurekebisha makosa na amefanya hivyo kwa kufunga mara mbili.
Mpaka sasa Saka amehusika kwenye magoli 12 msimu huu mabao sita na asisti sita Aubameyang 14 na Lacazette amefunga 13.
TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Kaz nzur
Arsenal wamejipanga vema
Asante kwa taarifa
Arsenal wametishaa balaa
Wamekuwa moto msimu huu hasa kinda Saka hata hivyo msimu umekuwa mgumu kiasi
Safii sana
Safii
Kidogo arsenal wanainukia