Chaguo la kwanza kwa Barcelona wakati wa usajili majira ya joto ni Erling Haaland lakini kama wakishindwa kumnasa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Norway basi chaguo la pili ni Robert Lewandowski.
Mkataba wa Lewandowski huko Bayern unaisha mwakani 2023 majira ya kiangazi na pande zote bado hazifanya mazungumzo ya mkataba mpya inagwa Bayern pia wanataka kuepuka Lewa kuondoka bure klabuni hapo.
Licha ya uchumi wa klabu ya Barcelona kuonekana kutokuwa imara lakini miamba hao wa Uhispania wanania ya kumsajili Haaland wakati wa dirisha la usajili la kiangazi.Barcelona tayari wanamachaguo mengine kama wakikosa huduma ya washambuliaji hao wa Bundesliga kama vile Alexander Isak, Karim Adeyemi na Lautaro Martinez
Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000 katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.



