FAST BET: Hivi ulishawahi kwenda kwa mangi kununua bidhaa yeyote ukakutana na foleni ya kufa mtu, au ushaenda benki na sehemu zingine zenye huduma kama hizi, asikwambie mtu bana foleni inachosha sana na sio hivyo tu, tena inakera kinouma.

Binafsi huwa sipendi mambo mengi pale ambapo nalitaka jambo langu, haswa kwenye ile kitu moyo inapenda, chukulia kwa mfano upo unacheki game online halafu mtandao unasumbua inakera eeh, au kuna mechi kali unaisubiri halafu umeme geto unaisha hahhah hii kitu inaboa sana.

 

FAST

Leo sitaki kukuacha kinyonge mshikaji wangu haswa wewe ambaye starehe yako ni kubeti, kuna huu mchongo nilikutana nao kutoka Meridianbet jumba la MABINGWA wa kubetisha hapa Tanzania, huu mchongo unaitwa FAST BET yani unaweka bashiri yako mapemaa mtandaoni halafu unaenda kwenye duka la Meridianbet ukimkuta kashia unamwambia akutolee mkeka wako ulikuwa umeweka kwenye Fast Bet.

Masharti na Vigezo vya FAST BET Yako Hivi.

Tengeneza tiketi mtandaoni, weka ubashiri kwenye duka la kubetia.

Chagua bashiri zako bila ya kuingia kwenye akaunti.

Weka bashiri zako na uthibitishe kwa kubonyeza sehemu ya Fast Bet.

Juu ya tiketi yako utaona neno FAST BET CODE.

Mpe Keshia namba hizo na tiketi yako itachapishwa ndani ya dakika chache.

Kila FAST BET CODE ni halali kwa masaa 48 kutoka kwenye muda iliyotengenezwa, na unaweza kuipeleka kubashiri kwenye duka lolote la Meridianbet.

Endapo mechi zimeanza, ile FAST BET CODE haitokuwa halali tena.

Thamani halali za tiketi ni zile za wakati wa kuipokea tiketi pale kwenye duka la kubetia, sio zile za wakati wa kutengeneza FAST BET CODE hiyo.

NB: Kesho Ligi mbalimbali zinaendelea unaweza kutengeneza mkeka wako na Fast BET mapemaa na kuepuka foleni ya kukaa pale dukani. Hawa ndiyo Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa