Bosi wa Chelsea Afukuza Wachezaji Hawa, Potter Apewa Jukumu la Kuunda Timu Upya

Katika hali ambayo imeshtua sana kwenye soka la sasa, ni uamuzi wa mwenyekiti wa Chelsea na mmiliki mwenza Todd Boehly leo amewatimua wachezaji wote wa Chelsea na kumpa meneja Graham Potter fursa kuandaa timu mpya kabisa yenye ushindani. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

 

chelsea

Ingawa hayo ni maelezo ya kupita kiasi, hilo ni wazo la jumla lililotolewa na klabu kupitia kwa Matt Law katika Telegraph, ambaye anaandika kwamba “wakati mmiliki wa awali Roman Abramovich aliunga mkono mara kwa mara wachezaji wa Chelsea juu ya mameneja wake.

“Umiliki wa Todd Boehly-Clearlake Capital, wanatamani sana kocha mkuu Graham Potter kugeuza mdororo wa kutisha na kufanikiwa” na hivyo wanamuunga mkono meneja huyo kwa asilimia nyingi zaidi ya ushindi katika klabu katika kipindi cha miaka 25 iliyopita”.

Kikosi cha Chelsea kilichoundwa kwa gharama kubwa kutoka kwenye umiliki wa Clearlake-Boehly na mifuko ya wawekezaji wao wenyewe, hata – sasa watampa mgongo kocha mkuu ambaye ameonyesha uwezo mdogo wa kushughulikia kazi hiyo tangu uteuzi wake. Ni nini kinachoweza kwenda vibaya? Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

Aubameyang

Wachezaji wanaotarajiwa kuondoka, ama sasa au mwishoni mwa msimu wanaweza kujumuisha Jorginho (nje ya mkataba), César Azpilicueta (nje ya kiwango), Pierre-Emerick Aubameyang (nje ya kila kitu), pamoja na mastaa kama Hakim Ziyech na Christian Pulisic na Kai Havertz watauzwa kokote – ingawa Ziyech pekee ndiye aliye na nafasi yoyote ya kuondoka mwezi huu, na hata hiyo haionekani kuwa nzuri sana.

Kuhusu, N’Golo Kanté na Mason Mount, wanaweza kuwa ni moja ya wachezaji pekee kwenye kikosi na matumaini cha Graham Potter, kwani wao hawaendi popote. hata hivyo huenda pia Thiago Silva akaagwa kwa heshima klabuni hapo. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe