Bruno Fernandes aliona “Ndoto yake inakuwa kweli” katika mchezo wa Manchester United wa kupoteza kwa 4-2 kwa Liverpool na katika mchezo huo kiungo huyo wa Ureno alikuwa nahodha wa Mashetani Wekundu kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Premier League.

Baada ya kukosekana kwa nahodha wa United Harry Maguire Solskjaer aliamua kumkabidhi kitambaa cha unaohodha Fernandes.

Fernandes aliiambia MUTV kufuatia kufanya hatua kadhaa akiwa kama nahodha wa United: “Nadhani kila mtu anajua ni heshima kubwa kuvaa kitambaa cha unahodha katika mechi ya klabu.

“Mimi ni mwingine najivunia hilo, kama nilivyosema baada ya Paris ni ndoto kuwa kweli.”

Huu ulikuwa mchezo wa pili mfululizo kwa United kupoteza baada ya kupoteza kwa Leicester City kwa 2-1 siku ya Jumanne na ilikuwa ni maraya kwanza kwa Klopp kupata ushindi katika dimba la Old Traford katika michezo saba iliyopita (D4, L2).

Hii ilimaanisha Liverpool wamesogea mpaka nafasi ya tano nyuma ya Chelsea kwa tofauti ya alama nne huku wakiwa na mchezo mkononi zimesalia mechi mbili pekee EPL iweze kufika tamati.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Fernandes, Bruno Fernandes Atimiza Ndoto Man United, Meridianbet

CHEZA HAPA

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa