Chama Mwamba wa Lusaka Arudi Kambini Simba

INAELEZWA kuwa Uongozi wa Simba umemsamehe kiungo wake Clatous Chama kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu yaliyokuwa yakimkabili na kupelekea kusimamishwa kuitumikia klabu hiyo kwa muda.

Chama

Baada ya kikao Cha kamati tendaji kukaa na Mchezaji huyo kimemtaka Chama kujiunga na wenzake kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa nchini lvory Coast na mechi za Kombe la FA. Unaweza kubetia mchezo huu kupitia Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo 1000+

Hivyo Chama atakuwepo kwenye michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United lakini hatakuwa sehemu ya mchezo wa Januari 31.

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe