Cristiano Ronaldo na Georgina Rodriguez Wanalipa £250,000 kwa mwezi Hotel Wanayoishi

Iwapo unadhani kukodisha Hotel huko London ni ghali, Cristiano Ronaldo na Georgina Rodriguez watakuwa wakilipa £250,000 sawa na TZS 712m, kwa mwezi kwenye hoteli yao huko Saudi Arabia. Meridianbet ni ushindi tu, Odds kubwa kwenye kila mechi.

 

ronaldo

Hiyo ndiyo bei inayogharimu kwa wanandoa na familia yao kukaa kwa Misimu Nne huko Riyadh, lakini haitakuwa shida kwa Ronaldo mwenye mshahara wake wa paundi milioni 173 kwa mwaka huko Al-Nassr.

Nyota huyo wa Ureno ametangazwa kuwa mchezaji anayelipwa zaidi kwenye soka baada ya kuachana na soka la kiwango cha juu Ulaya na bado hajapata nyumba ya kudumu. Odds kubwa unazipata Meridianbet pekee.

Hata hivyo, bila ya kuwa na wasiwasi, yeye na mshirika wake wamefaulu kupanga hotel ya ghorofa mbili na vyumba 17 kwenye Kingdom Tower, kabla ya baadaye kuhamia kwenye jumba la kifahari la paundi milioni 10.5, kwa mujibu wa Jarida la Hispania la Marca. Tembelea Maduka ya Meridianbet kubashiri Mubashara.

 

ronaldo

Ronaldo na Mpenzi wake Rodriguez wanasemekana kukaa katika Jengo la The Kingdom Suite, kwenye ghorofa ya 48 na 50 ya jengo hilo, ambalo lina urefu wa futi za mraba 4000 na linatoa ‘Mandhari ya kuvutia muonekano wa jiji’.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 alikubali kusitisha mkataba wake huko Manchester baada ya kutofautiana vibaya na klabu na meneja. Ukiwa na Meridianbet unaweza kubashiri Mubashara, mechi zote zina odds kubwa na nono.

Ronaldo kisha akawa mchezaji huru huku uhusiano wake na klabu hiyo ukikatika kabisa, akajiunga na Al-Nassr ya Saudia, lakini bado hajacheza kwenye kikosi chake kipya. Kubashiri na Meridianbet ni rahisi sana bonyeza hapa.

Acha ujumbe