Crotone Yachekelea Kurudi Serie A.

Rais wa klabu ya Crotone Gianni Vrenna alisherehekea siku ya Ijumaa baada ya Upande wake kujikwamua na kurudi tena katika ligi ya Serie A.

Ushindi wa 5-1 dhidi ya Livorno na sare waliyoipata Spezia dhidi ya Cremonese imewafanya Crotone wajihakikishie kurudi Serie A msimu ujao kwa mara ya tatu.

Mwaka 2016 – 17 Crotone walimaliza katika nafasi ya 17 lakini walishuka mwaka uliyofuata.

“Kurudi katika ligi kuu ya Italia Serie A inaweza ikawa ndio mafaniko makubwa na ya kuvutia tangu niwe hapa Crotone,” Vrenna alisema kama alivyo nukuliwa na Tuttomercatoweb.

“Tunahitaji kufuarahaia na kusherekea siku hii na kisha tujaribu kumaliza ligi katika nafasi nzuri, na kuweka mipango kwa msimu ujao.”

Crotone, ambao wamefunga magoli mengi na kuweka historia katika vilabu vinavyo shiriki Ligi ya Serie B kwani wamefunga jumla ya magoli 62 kwa msimu huu pia walisherhekea kushinda mchezo wa 12 mfululizo na kujiunga na Benevento kurejea katika ligi ya Serie A msimu ujao.

Watawaongoza Frosinone siku ya Jumapili kwa mchezo wa kukamilisha ratiba ya Serie B msimu wa 2019-20.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma hapa zaidi

52 Komentara

    Pongezi kubwa kwake crotone

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Safii kwao

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Safi San pongezi kwao

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Habari njema kwao

    Jibu

    me mwenyewe nimefurahi kurudi Serie A.maana tulipoa

    Jibu

    Pongezi kwao#Meridianbettz

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Hongera sana kwake crotone

    Jibu

    Crotone ilikua klabu inayoshindana sana na vilabu vikubwa,hongera kwao

    Jibu

    Ongera kwao

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Saf San

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema sana 👍 kwao

    Jibu

    Hongera crotoni.

    Jibu

    Hongera kwao…wakaze sasa wasishuke tena

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Vizuri xana

    Jibu

    Ni jmb jem

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Safi sana wataleta upinzani sana seria a

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Kurudi katika ligi kuu ya Italia Serie A inaweza ikawa ndio mafaniko makubwa na ya kuvutia tangu niwe hapa Crotone,” Vrenna alisema kama alivyo nukuliwa na Tuttomercatoweb.

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Pongez kwao

    Jibu

    Kupata mafanikio ni jambo moja lkn kulinda mafanikio ndio jambo kubwa zaidi. Hongera kwao, watatakiwa kuwa na mipango endelevu kubaki Serie A kwa muda mrefu#meridianbettz

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Hongera Sana crotone

    Jibu

    pongez ziende kwao

    Jibu

    Pongez kubwa

    Jibu

    Yuko poaa

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Good in one.

    Jibu

    Wamepambana vya kutosha, wanastahili pongezi

    Jibu

    Mafanikio huja kwa kujituma hongera Sana crotone

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Safi Sana

    Jibu

    Kwa muendelezo huo wanahitaji kujipongeza na kukimbuka kuwa kunasafari baada ya hapo

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Cortisone kweli wamepambana mpaka wameewjea ligibkuu Italy hongera yaoo

    Jibu

    Corotone kweli wamepambana mpaka wameewjea ligibkuu Italy hongera yaoo

    Jibu

    Hongera yake tu

    Jibu

Acha ujumbe