Dortmund wameamua kushusha bei yao ya maulizo kwa Jadon Sancho kufikia karibu paundi milioni 78 ($ 108m), huku winga huyo wa Uingereza akiruhusiwa kuchunguza chaguzi zake kwenye vipengele fulani.
Dau la Kuumuza Sancho la Shushwa Mpaka Kufikia £78m
Kiungo wa Dortmund Jadon Sancho

“Tayari tulikuwa na makubaliano na Jadon mwaka jana kwamba anaweza kubadilisha chini ya kipengele fulani,” Zorc aliiambia ARD. “Amekuwa nasi kwa miaka michache. Lakini hakuna makubaliano kama hayo kwa Erling.”

Vyanzo vinaripoti kuwavipengele hivyo vitamruhusu Sancho kuondoka kwa dau la karibu paundi milioni 78 ($ 108m) punguzo kubwa kutoka £108m ($ 150m) ambayo Dortmund walikuwa wakiitaka hapo awali.

Mchezaji huyo wa miaka 21, ambaye ameona timu nyingi wakipunguza mapenzi yao, anafikiria hatua inayofuata katika taaluma yake na kwa kweli hatapenda sakata la uhamisho litawale kwa msimu wote wa joto, kama ilivyokuwa mwaka jana.

Kwa kweli, Sancho haoneshi kiwango sawa kama mwenzake Erling Haaland na ingawa klabu hiyo ya Ujerumani inatarajia kuwabakisha wachezaji wote wawili.

Baada ya sakata la msimu uliopita wa kiangazi kuhusisha Manchester United, wengi wanatarajia kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer kitarudi na ofa ya fowadi huyo msimu wa joto.

Bado kuna wasiwasi juu ya utayari wa Mashetani Wekundu kutumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye sajili zao, huku United ikiwa imeathiriwa sana na athari za kifedha za janga la coronavirus.

Chelsea pia wamekuwa wakihusishwa katika harakati hizo za kuhitaji saini ya Sancho lakini hawajaonesha nia yao kubwa kwa winga huyo.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Sancho, Dau la Kumuuza Sancho la Shushwa Mpaka Kufikia £78m, Meridianbet

SOMA ZAIDI

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa