David Brooks wa Bournemouth Akutwa na Saratani

Kiungo wa Wales na klabu ya Bournemouth David Brooks amesema kwamba anaugua na Hodgkin Lymphoma hatua ya pili.

David Brooks wa Bournemouth Akutwa na Saratani
David Brooks

Mchezaji huyo ambaye alitua Bournemouth mwaka 2018 akitokea Sheffield United sasa emeondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Wales kwa sababu ya ugonjwa imethibitishwa.

Hodgkin Lymphoma ni nini? Ni Saratani ambayo inayokua ndani ya mfumo wa lymphatic katika sehemu ya kinga za mwili sana sana huwaathiri vijana wa rika la miaka 20’s na wzee wa miaka 70’s.

Brooks alisema: “Ni ujumbe mgumu sana mimi kuandika.

“Ninaugua na hatua ya pili ya Hodgkin Lymphoma na niatanza kupewa matibabu wiki ijayo.

“Ingawa hii imekuja kama mshituko kwangu mimi na familia yangulakini nimeichulia kwa hali chanyana ninajiamini nitapona kabisa na kurejea kucheza soka haraka iwezekanavyo.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe