David De Gea Huenda Akajiunga na Ronaldo Al Nassr

david de gea

Mlinda mlango namba moja wa Manchester United David de Gea anaweza kujiunga tena na mchezaji mwenzake wa zamani wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo huko Al Nassr ya Saudi Arabia. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Kipa huyo wa Hispania ni mchezaji huru kufuatia kumalizika kwa mkataba wake Juni 30. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

De Gea alipewa ofa ya mkataba mpya Old Trafford, kwa masharti yaliyopunguzwa, lakini hakuna azimio lililofikiwa kati ya mchezaji na klabu.

Wakati mazungumzo yakiendelea na Mashetani Wekundu, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 anafikiria chaguo lake mahali pengine.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Al Nassr wanajiandaa kumpa mkataba wa paundi 250,000 kwa wiki ili kuhamia klabuni hapo. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe