Memphis Depay anaweza kujiunga na klabu ya Barcelona kwa uhamisho  wa kiangazi. Lakini, mshambuliaji mwenyewe anasisitiza kuwa, bila kujali mipango yake mwenyewe, anatumai Koeman atakaa Camp Nou.

Depay: Ningependa Kuona Koeman Anasalia Barcelona

Makubaliano kati ya klabu ya Kikatalani na mchezaji huyo inaaminika tayari yamefanyika, huku suala la nani anayefundisha timu hiyo mwakani haijajulikana.

“Ningependa Koeman abaki huko, bila kujali ni wapi nitaenda,” Depay alielezea katika mahojiano na media wakati akijiandaa na Euro 2020.

“Bila kujali ni wapi naenda, ningependa aendelee hapo. Kwa ajili yake.

“Kuna nia huko. Barcelona ni klabu ya kupendeza, lakini kuna vilabu vingine bora.

“Kwa sasa, nimezingatia kwa asilimia 100 timu ya taifa ya Uholanzi. Nadhani timu hii inaweza kufanya mengi, lazima tuiamini na tuionyeshe.”


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa