Unai Emery amesema sasa anajipanga kunyanyua ndoo ya Champions League baada ya kuingoza Villarreal kushinda ubingwa wa Europa League siku ya Jumatano dhidi ya Manchester United.

Villarreal iliwashangaza United katika fainali ya Euoropa League baada ya kupigiana matuta 11-10 huko Gdansk kufutaia kwenda sare y7a 1-1 baada ya dakika 120.
Golikipa wa Man United David de Gea alikosa penati baada ya Villarreal kupta penati zote 11 pia Unai iliweka rekodi mpya ya kuwa kocha wa kwanza wa kushinda EUFA Cup au Europa League kwa mara ya nne akimpita Giovanna Trapattoni.
Villarreal ni timu ya kwanza kushinda ubingwa fainali ya kwanza ya mashindano hayo tangu Shakhtar Donetsk katika EUFA Cup mwaka 2008-09.
Sasa Villarreal itashiriki hatua ya makundi katika Champions League tangu 2011-12.
“Ninajivunia kuaminika kwa mradi na kuwajibika kama nilivyoshiriki hapa,” Emery alisema wakati wa mkutano wake wa waandishi wa habari baada ya mechi. “Wanataka nije hapa? Hawakutaka nije kushinda Europa League, kwa sababu hii ni ngumu sana.
“Sasa tutapata nafasi ya kushindana kwenye Ligi ya Mabingwa. Msimu huu katika Ligi ya Uropa njia yetu imekuwa nzuri tangu siku ya kwanza.”
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Apewe bila ya kinyongo maana uwaga hana neno na kila anachoona mbele yake anakiwek sawa
Apewe tu ndo hatua nzuri
Kama vp apewe tu