Eric Aongeza Mkataba Spurs.

Eric Dier amesaini kandarasi mpya kuendelea kubaki katika klabu ya Tottenham mpaka mwaka 2024.

Mchezaji huyo wa England alikuwa amebakisha si zaidi ya mwaka mmoja katika mkataba wake uliyopita na ataendelea kucheza katika ligi ya Premier League.

Dier alijiunga naTottenham akitokea akitokea Sporting Lisbon mwaka 2014 na tayari amecheza michezo 239 akiwa na upande huo wa London Kaskazini na kufunga magoli 11.

Dier mwenye umri wa miaka 26 ataendelea kukipiga mpaka mchezo wa mwisho wa ligi dhidi ya Crystal Palace siku ya Jumapili baada ya kufanya vizuri katika michezo minne iliyopita na kujikita kwenye nafasi za juu.

Dier aliifungia timu yake ya taifa la Uingereza goli kwa mkwaju wa penati katika mashindano ya kombe la Dunia dhidi ya Colombia na kuiokoa kuingia robo fainali na mashindano hayo yalifanyika nchini Urusi mwaka 2018.

Dier ameumbia ukurasa wa klabu wa tweeter: “Ninafuraha sana kuendelea kubaki hapa na ninaahidi kufanya bidii zaidi katika hii safari.”

“Inafurahisha kufikirira kwamaba nilikuwa hapa miaka sita iliyopita. nimefurahia sana, ilikuwa safi sana kufanya kazi chini ya makocha tofauti. najiona mwenye bahati kuwa katika klabu hii ni sehemu sahihi kabisa kuwepo.

“Timu imenipa vitu vingi sana, tulikuwa na wakati mzuri kwa pamoja na kuna vitu vingi inavyo takiwa kuvifanikisha kabla hatuja fika mwisho.”

“Mlaengo yangu na uongozi ni kushinda mataji kipindi wakati ukifika, na ninataka mpaka naondoka niwe nimefanya yote.”

Kocha wa Spurs Jose Mourinho ameongea kuhusu tumaini alilonalo kwa Dier, ambaye alirudi kucheza kama kiuongo wa kati na ataendelea kusalia klabuni hapo.

Mourinho amesema: “Bosi wangu Mr Daniel Levy ameniambia anataka Eric kusaini mkataba mpya na  Eric ameniambia amefurahi sana kupata ofa hiyo ya kuendelea kubaki hapo. 

53 Komentara

    mou na vyuma aongeze middle inayonyumbulika sasa

    Jibu

    Pongezi sana Eric kwa kuongeza mkataba

    Jibu

    safi sana erick

    Jibu

    Spurs sio rahisi kumwachia asepe lazima waongeze mkataba nae

    Jibu

    Eric mchezaji mzuri anastahili kuongezea mkataba

    Jibu

    Pongezi zake Eric kwakuongeza mkataba spurs

    Jibu

    Wamefanya jambo zuri spurs kumwongeza mkataba Erick

    Jibu

    Kafanya vizuri Erick kuongeza mkataba haendelee kutumikia timu yake

    Jibu

    Bado ni mchezaji muhimu Sana
    Amestahili kubaki#meridianbettz

    Jibu

    Ni noma sana huyu mwamba

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    Huyu mwamba nikiboko

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Eric namkubali mana anakaba hadi kivuli,kuongeza mkataba wake ni jambo zuri.

    Jibu

    Ni Bahati sana kwa Mourinho kumuelewa Dier, kila la kheri Dier

    Jibu

    Safi Erick

    Jibu

    Pongezi nyingi sana kwa Eric kwa kuongeza mkataba

    Jibu

    Safi, aendelee kukipiga

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Tottenham

    Jibu

    Hongera zake kwa maamuzi mazuri

    Jibu

    Ni jambo la furaha kwa wana spurs.

    Jibu

    Vzur sana

    Jibu

    Yupo vizuri anastahili

    Jibu

    Eric hanauwezo makubwa sana

    Jibu

    Vizuri tu kuendelea kusalia Tottenham

    Jibu

    Safii spurs

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Jambo la kheri hilo

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Gud kila la kheri

    Jibu

    SAFI SANA

    Jibu

    Jambo zurii

    Jibu

    Safi Sana eric

    Jibu

    Hongera kwake dier

    Jibu

    Maoni: safi sana Erick

    Jibu

    Good

    Jibu

    Mchezaji mzuri anastahil

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Mpra Ndio kazi take Ndio maana ameongeza mkataba

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Jambo zuri sana

    Jibu

    Safi sana Eric#meridianbettz

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Jambo mzur sana

    Jibu

    Hongera sana erick

    Jibu

    Hongera sana Eric kwa kuongeza mkataba

    Jibu

    Mpra Ndio kazi take Ndio maana ameongeza mkataba

    Jibu

    safi sana Eric

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Pongezi kwake#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe