Erling Halaand anzidi kuweka rekodi tu barani Ulaya, baada ya jana kuwafunga RB Leipzig peke yake mabao 5 ndani ya dakika 60 zilitosha kijana huyo wa Pep Guardiola kuandika rekodi mpya. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

haaland

Katika Mechi 25 za UCL pekee Erling Halaand ameweka rekodi ya kufunga mabao 33, huku jana pekee yake aliibamiza RB Leipzig mabao 5. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Orodha ya wachezaji wengine wenye mabao 30.

Erling Haaland – michezo 25
Ruud van Nistelrooy – michezo 34
Robert Lewandowski – michezo 46
Lionel Messi – michezo 48
Neymar – michezo 49

Lakini pia Bado mwanba anaongoza rekodi nyingine kwa upande wa pili, wachezaji wadogo zaidi waliofikisha mabao 30. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Erling Haaland – miaka 22, siku 236

Lionel Messi – miaka 23, siku 131

Raúl González – miaka 24, siku 91

Karim Benzema miaka 25, siku 105

Thomas Muller – miaka 26, siku 3

Hii sio mara ya kwanza kwa Haaland kuandikwa kwenye vitabu vya rekodi kwenye Ligi ya Mabingwa. Pia ndiye mchezaji mwenye kasi zaidi kufikisha mabao 10 na 20 kwenye mashindano hayo na ndio kwanza ameanza maisha akiwa Manchester City. Unahisi akikaa zaidi ya misimu mitano atakuwa na rekodi gani? Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa