Everton wamsajili kiungo wa Brazil Allan kutoka Napoli.

Carlo Ancelotti ameendelea kukiimarisha kikosi cha timu ya Everton baada ya klabu kuthibitisha kukamilisha usajili wa Allan kutoka Napoli siku ya Jumamosi.

Allan- ambaye amekuwa akipambana sana Napoli chini ya kocha Genarro Gattuso alikuwa akijua atakuwa ni kipaumbele kwa Ancelotti katika dirisha hili la usajili, na Ancelotti anataka kuungana tena na mchezaji wake huyo wa zamani.

Ancelotti sasa amepata mtu aliyekuwa akimtaka, kiungo huyo mpambanaji aliyeitwa mara tisa katika timu ya taifa ya Brazil, amejiunga na Everton kwa dili ya mkataba wa miaka mitatu kwa ada ya uhamisho inayoripotiwa kufika £22.2m.

Kiungo, Allan Christian de Almeida

“Nina furaha ya dhati kusaini Everton, nifuraha mimi kuwa hapa,” Allan aliiambia Evertontv

“Ni klabu yenye historia kubwa katika Premier League ni sehemu sahihi sana nafurahi kukutana na Profesa Ancelotti.

“Amefanya kila linalowekezekana kuhakikisha mimi nakuja hapa.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alicheza michezo 13 katika Serie A msimu uliyopita, na kufanikiwa kufunga goli moja imeripotiwa anajiandaa kutua Everton pamoja na wachezaji wengine kama James Rodrigues wa Real Madrid na Abdoulaye Doucoure wa Watford.

Everton wataanza mbio za kuwania Premier League msimu 2020-21 kwa mchezo dhidi ya Tottenham mwezi Septemba 13.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

 

 

45 Komentara

    Wellcom

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud signing Everton.

    Jibu

    Bonge la mchezaji Everton imefanya usajili mzuri

    Jibu

    Mchezaji mahili Anajua kazi yake nakujituma pia

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Everton naona wamempata mtu waliyekuwa wanamtana allan

    Jibu

    Usajili huu Everton imefanya usajili mzuri sana mchezaji mzuri

    Jibu

    Everton imefanya usajili mzuri@meridianbettz

    Jibu

    Karibu

    Jibu

    everton hapo mmepata mtu mzuri

    Jibu

    Allan yupo vizuri sana Everton kama watamtumia vizuri aslimia mia watapata matokea mazuri kutoka kwake

    Jibu

    Kikosi cha Everton kipo poa

    Jibu

    Safi#Meridianbettz

    Jibu

    Everton wamefanya usajili mzuri mno

    Jibu

    Ni klabu yenye historia kubwa katika Premier League ni sehemu sahihi sana karibu everton.

    Jibu

    Safiiii Sana Everton

    Jibu

    Ni mchezaji mzur san

    Jibu

    Usajil mzr sana

    Jibu

    Everton wamepania kuleta upinzan epl msimu ujao

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Alan ni makin ila mazoez

    Jibu

    Everton hapa nimewakubali sana

    Jibu

    Karibu

    Jibu

    Chaguo sahihi

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Ni mchezaj hodar atawafaa sana

    Jibu

    Anajua kujituma

    Jibu

    Welcome God’s on park Allan

    Jibu

    Good

    Jibu

    September 5, 2020 at 1:50 pm
    Gud signing Everton

    Jibu

    Bonge la mchezaji Everton imefanya usajili mzuri

    Jibu

    Allan yupo vizuri sana

    Jibu

    Karibu sana

    Jibu

    Mambo yameiva vilabu vinazidi kujiimarisha zaidi

    Jibu

    Everton imedhamiria kuleta ushindani msimu ujao#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Timi zinafanya usajili hakuna kulemba hongera Everton kwa usajili mzuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Jamaa anajua sana huyu

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe