Cesc Fabregas amethibitisha kwamba ataondoka katika klabu ya Monaco mwisho wa msimu huu baada ya kutumikia timu hiyo wa miaka mitatu.

Kiungo huyo wa zamani wa Barcelona alijiunga na Monaco mwaka 2019 baada ya kuicheza Chelsea kwa miaka mitano akitokea Barcelona na Arsenal.

“Ni hakika kwamba nimemalizana na Monaco,” Fabregas alisema katika mahojiano na Sofoot.com.

“Mkataba wangu unaisha Juni na ninatafuta pa kuanzia.

“Lakini mwaka huu umekuwa mbaya sana kwamba siwezi kustaafu hivi baada ya kujijengea taaluma hii. Nataka kuendelea kucheza.

Fabregas amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara msimu huu na alisema ” Nimekuwa nikipambana sana mwaka huu na ulikuwa mgumu sana kwangu katika hali ya kiakili pia imeniathiri lakini unapaswa kuwa imara.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa