Gamondi Awapigia Hesabu Kali Mtibwa Sugar

Gamondi na Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Mtibwa Sugar. Ipo wazi kwamba baada ya kukamilisha mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana kituo kinachofuata ni Azam Complex kuvaana na Mtibwa Sugar.

Huo ni mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili kupambania pointi tatu ambapo Yanga SC inahitaji kupanda kileleni na kuongoza msimamo wa Ligi kuu ya NBC. Ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kuondoka na mkwanja Wikiendi hii usiache kubashiri mchezo huu, kwani utakupa maokoto mengi pale MERIDIANBET.

Ikumbukwe kwamba mwendo wa Mtibwa Sugar haujawa kwenye ubora ikiwa ina pointi tano kibindoni ipo nafasi ya 16 kwenye msimamo huku Yanga ikiwa na pointi 24 nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 9.

Gamondi amesema: “Kila mchezo ambao tunacheza ni muhimu kuona tunapata pointi tatu hivyo kuelekea mchezo wetu ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar tunahitaji pointi tatu,”

Wakati ambapo Yanga wanazipigia mahesabu pointi tatu za Mtibwa Sugar, wewe mahesabu yako yanapaswa kuwa mazuri wakati unatengeneza jamvi lako la Wikiendi hii, hakikisha hukosei na umpige hela Muhindi. TAZAMA ODDS KUBWA HAPA.

Acha ujumbe