Bondia Gervonta Davis alinusurika kupoteza kwenye pambano gumu zaidi la maisha yake kwa kupata ushindi wa uamuzi wa majaji dhidi ya Isaac Cruz (116-112, 115-113, 115-113) na kubakia na mkanda wa WBA uzani mwepesi katika Kituo cha Staples siku ya Jumapili.

Gervonta Davis Amkung'uta Isaac Cruz kwa Pointi

Cruz alikuwa mpiganaji mkali zaidi kutoka kwenye pambano hilo, akija kwa nguvu na kurusha makonde ya mwili, lakini Davis alikuwa mvumilivu.

Kila Davis alipotupa ngumi, alipokea kitu tena. Cruz alimuweka Davis kwenye wakati mgumu katika raundi ya 10 kw kumrushia ngumi mfululizo (combination) lakini haikutosha kushinda alama za majaji.


Mwishowe, uwezo wa kujilinda wa Davis na ngumi safi zaidi ilifanya tofauti. ‘Tank’ alisema baada ya pambano hilo aliumia mkono wake wa kushoto katika raundi ya tano au sita na hakuweza kuutumia ipasavyo.

Davis aliulizwa baada ya pambano hilo kuhusu uwezekano wa kupigana na nyota wenzake wachanga ambao ni Devin Haney, Ryan Garcia au bingwa mpya wa uzani wa lightweight George Kambosos Jr. “Yote hayo ni mapambano marahisi,” alijibu.


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa