Mustakabali wa Greenwood Utd Kufahamika

Greenwood

Mason Greenwood atafahamu mustakabali wake wa United kabla ya msimu wa Ligi Kuu kuanza. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Manchester United inapanga kutangaza matokeo ya uchunguzi wao wa ndani wa miezi sita dhidi ya Greenwood kabla ya kucheza na Wolves mnamo Agosti 14.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

CPS ilitupilia mbali mashtaka yote dhidi ya Greenwood, ikiwa ni pamoja na kujaribu kubaka, mwezi Februari lakini bado hajarejea mazoezini na wachezaji wenzake.

Vilabu kadhaa barani Ulaya vimeonyesha nia ya kumsaini Greenwood kwa mkopo.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe