Guardiola Awaonya Wachezaji Wake Juu ya Tabia

Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola ameendelea kusisitiza juu ya tabia na mienendo ya wachezaji wake nje na ndani ya uwanja baada ya kuwatema Jack Grealish na Phil Foden kwenye mchezo wa wikendi iliyopita dhidi ya New Castle United.

Grealish na Foden waliripotiwa kupigwa picha kwenye moja kumbi za starehe za usiku baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Leeds na kisha baadaye waliachwa kwenye kikosi cha kwanza kwa mchezo uliyofuata dhidi ya Newcastle.

Meneja huyo ambaye ameweka rekodi mpya ya kufunga magoli mengi ndani ya mwaka mmoja alisema: “Wakati wa  sikukuu ya Christmas nitakuwa nikiangalia kwa umakini tabia za wachezaji ndani na nje ya uwanja.

“Haikuwa mzunguko niliamua walikuwa wacheze leo na hawakuwa watu wengine.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.