Harry Kane alifichua kuwa kikosi cha Spurs kinapambana kwaajili ya Antonio Conte baada ya kocha mkuu huyo kuomboleza kifo cha marafiki zake wawili wa karibu katika kipindi cha miezi minne iliyopita. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

kane

Kane alikuwa akizungumza baada ya kufunga bao la ushindi wakiwa ugenini-Tottenham dhidi ya Fulham, ambayo walishinda 1-0 kufuatia bao kali la nahodha huyo wa Uingereza.

Katika mazungumzo na Sky Sports, fowadi huyo alikiri kwamba meneja wa kikosi cha kwanza cha Spurs amekuwa na ‘wakati mgumu nje ya soka’ na timu hiyo ina matumaini ya kumuondoa kwenye janga hilo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Mshambuliaji huyo wa Tottenham alisema: “Amepitia wakati mgumu nje ya soka katika maisha yake ya kibinafsi, kuwa sehemu ya timu sio wachezaji tu, ni meneja, wafanyikazi, na kuwa hapo kwa kila mmoja.

“Tutaendelea kupigana. Yeye ni meneja mwenye shauku na inatubidi tu kuendelea kumfanyia kazi kwa bidii.”

Kuelekea mwisho wa 2022, Conte aliomboleza kifo cha kocha wa Tottenham Gian Piero Ventrone na mchezaji mwenzake wa zamani Gianluca Vialli.

Ventrone alifariki ghafla Oktoba mwaka jana baada ya kuugua saratani ya damu, huku bosi wa zamani wa Chelsea Vialli akifariki dunia kutokana na saratani ya kongosho mapema mwezi huu.

Matokeo yake, imepelekea shaka juu ya mustakabali wa Muitaliano huyo kaskazini mwa London huku akiendelea kukabiliana na majaribu magumu ya mwaka jana.

Kane alikuwa akizungumza baada ya kupata ushindi katika safari ya Tottenham ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Craven Cottage Jumatatu usiku. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Nahodha huyo wa Uingereza aliibuka na bao kabla ya muda wa mapumziko baada ya kumtoka Tim Ream wa Fulham na kupiga shuti kali hadi wavuni.

Bao hilo lilimfanya Kane afikishe mabao 266 katika maisha yake ya Tottenham na kuwa sawa na gwiji wa klabu hiyo Jimmy Greaves.

 

Jimmy Greaves

Fowadi huyo wa Uingereza atakuwa na matumaini ya kumpita Greaves katika mechi inayofuata ya Spurs, watakaposafiri hadi Preston North End katika Kombe la FA Jumamosi mchana. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa