Gonzalo Higuian amemuonya mshambuliaji wa Atletico Madrid Luis Suarez kuhusu kujuinga na ligi ya Major League Soccer ya Marekani kwamba ligi hiyo siyo nyepesi.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina amekuwa akipambana kuwa kwenye kiwango bora tangu alipojiunga na ligi hiyo mwaka 2020 katika klabu ya Inter Miami na amesema ni ligi ngumu kuliko vile unavyoweza kudhania.

Suarez amekuwa akihusishwa kutimkia huko MLS baada ya mkataba wake na Atletico Madrid kuisha majira ya kiangazi mwaka huu.

“Nilidhani nitakuja hapa nikiwa na sigra mdomoni kwangu lakini ni ngumu,” Higuain alisema katika Twitch kwenye mahojiano na Christian Vieri.

“Ni ligi ngumu sana. Nimejifunza inafanana na Serie A.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa