Kocha mkuu wa Ac Milan Stefano Pioli hana shaka juu ya Zlatan Ibrahimovic kuendelea kuwepo katika timu hiyo ikiwa mazungumzo yanaendelea juu ya uwezekano wa kuongeza mkataba kuendelea kuwepo San Siro.
Ibrahimovic alirudi Milan akitokea ligi ya nchini Marekani MLS akiwa na timu ya LA Galaxy mwezi Januari kwa dili ya mkataba wa muda mfupi na katika uhamisho huo Zlatan amethibitisha ubora wake na kuisaidia timu hiyo kukaa sawa na kuokoa kibarua cha kocha Pioli.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 alifunga goli 10 kwenye michezo 18 na kuweka historia ya mchezaji mkongwe kufunga goli nyingi katika michezo michache kwa msimu katika historia ya Serie A.
“Zlatan ni mchezaji mkubwa na ujuzi mwingi,” alisema “anawafundisha wachezaji wadogo, ni “Ua” katika kikosi na anaheshimika sana.
“Siri yake ni ile shauku ya kutaka kushinda na kuwa bora kila wakati.”
Mtu mmoja kwa hakika ameonesha dalili za kuimarika akiwa Milan ni mlinda mlango Gianluigi Donnarumma.
Golikipa huyo mwenye umri wa miaka 21 alipata clean sheet 14 kwenye mashindano yote kwa msimu 2019-20 na kuchukua nafasi ya unahodha kwa wiki za mwisho za kumaliza msimu baada ya Alessio Romagnoli kuwa majeruhi.
“Anakipaji kikubwa sana ni moja ya magolikipa bora ulimwenguni na ana muda wa kuwa bora zaidi na zaidi.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa
Latifa juma mohamed
Zlatan Ibrahimovic ni mchezaji mkubwa na mwenye ujuzi mwingi,” natumai ataendelea kufanya mazuri awepo Ac Milan pia, “Ua” katika kikosi na anaheshimika sana.
Mwanahamisi
Gud news
aisha
Ibrahimovic ni mchezaji mziri sana halafi pia sio kwamba kwakua anakipaji lakini pia ananidham ya kazi yake na upendo na wenzake
Zeiyana
Ukiangalia ni kweli amefanya kazi kubwa sana pale milan. Na bado hanaumuhimu makubwa sana kwenye clabu hiyo
Khadija
Amefanya kazi kubwa sana pale milan na bado hanaumuhimu mkubwa sana kwenye clabu hiyo
Sauda
Ni mchezaji mkubwa na pia anamchango mkubwa sana pale Milan
Ester jackson
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri sana ingawa miaka take mingi lakini bado damu yake Ipo zaidi kwenye mpira .na inapendeza zaidi kuendelea hapo Milan
Mwajumah
Ni mchezaji mkubwa na kazi aliyoifanya millan imeonekana ongera kwake ibrahimovic#Meridianbettz
Nasra
Kazi aliyoifanya inaonekana bdo
Magdalena
movic ni kijana mwenye kujituma na ana msaada mkubwa sana pale milan
Tatu
Kocha wa Milan asifosi ibrahimovic abaki wakae chini wakubadiliane kwani ni mchezaji mzuri na mwenye kujituma
Sadick
Ni kweli Ibrahimovic ni mchezaji mzuri lakini ni mtu mwenye majigambo sana. Namukumbuka jinsi ambavyo hakuendana na falsafa ya Pep Guardiola na kuamua kuondoka Barcelona#meridianbettz
Adelta
Good news
@meridianbettz
Fatina mfingi
Ni mchezaji mkubwa na unaoneka bad !!
felister
Ibrahimovic ni mchezaji mkubwa na ana uziefu mwingi
David Pere
kweli Ibrahimovic ni mchezaji mzuri lakini ni mtu mwenye majigambo sana. Namukumbuka jinsi ambavyo hakuendana na falsafa ya Pep Guardiola na kuamua kuondoka Barcelona
Fatuma kasomo
Gud news
Neema
Nikwelii kabisaa yuko vzr sana
Gabriel
Ibrahimovic sio ua tu bal n mhimil mkubwa sana millan maaana anaonekana kutegemewa sana kikosin
Saupha mohamed
Ibrahimovic anamchango mkubwa
Omary lukumbi
Ibrahimovic n mtu hatar sana
Johnmary joel
Namkubari sana#meridianbett
Devotha
Kweli ng’ombe hazeeki maini
Hope mwaikuka
Namuelewa sana ibra
farida ahmadi
Ibramovic Bado Yuko vizuri Sana
Sabrina
Waswahili wanasema ng’ombe hazeeki maini,Zultan Bado yuko Fiti kwa kweli
Samiah
Ibra mtu mbaya
Issa
Zlatan milan ni kwake sana
Povel
Noma sana hiiii gud news
Janeflora malisa
Vizur
Shafii
Kwa umri wa kadabra anaweza akacheza hata miaka miwili bado yuko fit.
Ernest
Ni ngumu kwa Ibrahimovic kuendelea kusalia Milan
Dorophina
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri Milan hawatojutia kumsajili
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli lbrahimovic Ukiangalia ni Ua uyupo vizuri Sana jamaha huyo nasijui Kama atatoka Leo Apo Milan kwasabu yeye ndio uliongoza jahazi
Furahav
Muache yuko vizuri.
Amiri Kayera
Anatia motivation kweny team
warda
Ni UA kweli