Zlatan Ibrahimovic amesema yupo tayari kuongeza mkataba wake Milan kama mkurugenzi wa ufundi Paolo Maldini atataka.
Ibrahimovic Yupo Tayari Kuongeza Mkataba Milan
Zlatan Ibrahimovic

Ibrahimovic amekuwa na kiwango thabiti tangu arejee Milan kwa mara ya pili mwezi Januari mwaka uliyopita, mchezaji huyo wa miaka 39 amekuwa na mchango mkubwa katika klabu ambayo ipo katika kinyang’anyiro cha kutwaa Scudetto msimu huu.

Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United, PSG mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu amefunga mabao 14 ya Serie A na kuisaidia Milan Kukaa katika nafasi ya pilialama tatu nyuma ya wapinzani wako Inter.

Alipoulizwa kuhusu hatima yake, Ibrahimovic aliiambia RAI’s Che Tempo Che Fa via RAI: “Sijui, ngoja tuone. Kma Paolo atanitaka , nipo tayari kwa hilo.

“Msimu bado ni mrefu bado kuna michezo mingi imesalia’

“Mara zote tunacheza ili tushinde hata kama tunacheza mara moja kwa wiki.

Ibrahimovic alihudhuria katika ushindi wa Milan wa 2-0 dhidi ya Hellas Verona siku ya Jumapili.

“Siku nzima ikiisha bila kuwa na wachezaji hawa ni kama nimetumia siku nzima bila watoto wangu wa kiume.


Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.

Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino ya Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.

Ibrahimovic, Ibrahimovic Yupo Tayari Kuongeza Mkataba Milan, Meridianbet

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa