Nyota wa Aston Villa Jack Grealish amesaini mkataba mpya unaomfanya andelee kuwepo klabuni hapo kwa miaka 5 zaidi.
Grealish alikuwa anahusishwa na uhamisho wa kuingia Manchester United baada ya kapteni wa klabu hiyo kuhusishwa na uhamisho. Hata hivyo, klabu ya Aston Villa kupitia tovuti yake imetoa taarifa rasmi ya staa huyu kuongeza mkataba.
Mkataba huu mpya wa staa huyu mwenye miaka 25, unamfanya aendelee kuwepo klabuni hapo hadi mwaka 2025.
Nyota huyu ameweza kuichezea timu yake ya taifa ya Uingereza mwezi uliopita dhidi ya Dernmark, alianza kuvuma zaidi kwenye midani za soka Ligi Kuu misimu ya 2014-15 na 2015-16.
Msimu uliopita alichangia kwa kiasi kikubwa kuisaidia Aston Villa isishuke daraja, akiwa amechangia magoli nae na kutoa asisti sita.
Jack Grealish anasema kuwa anafurahi kupewa nafasi nyingine ya kuitumikia vyema Aston Villa, klabu ambayo kwake ni kama nyumbani na ana furaha sana kuwepo hapo.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.



Fatuma kasomo
Safi habari nzuri
magdalena
safi sana grealish piga kazi
Hopemwaikuka
Hongera sana kijana pga kaz
Lydia Emmanuel Magoti
Safii hongera yake
Dorophina
Kila lakheri jack katika kuendelea kulisongesha gemu katika klabu yako
aisha
Duuh hongera sana jack crealish kwa kuongeza mkataba wa miaka mitano bonge la dili
jullie
makala nzuri
Zeiyana
Aston villa wameona humuimu wa jack na ndio maana wamemuengezea mkataba kwa nafasi nyengine aliyo pewa jack tunategemea kuona mengi makubwa clabuni hapo
Hidaya
Tunategemea kuona mengi zaidi kutoka kwake
Ernest
Binafsi sio kama ni uamuzi sahihi kwa Grealish kubak ndani ya Aston Villa, labda anafurahi maisha ya ufalme ndani ya Villa.
Angelina
Goodupdate#meridianbet
Tatu
Hongera kijana
Faraja molell
Hongera kwake
Gabriel
Jack Grealish ni staa mzur sana kwenye safu ya ushambuliaji namkubal sana huyu ameweza kuichezea timu yake ya taifa ya Uingereza mwezi uliopita dhidi ya Dernmark, alianza kuvuma zaidi kwenye midani za soka Ligi Kuu misimu
Nasra
Habari nzuri
Povel
Co jambo sahihi mchezaj mwenye kiwango cha jack grealish mwenye taama ya mafanikio kwny soka kubak kwny club Kama vila natumain ni jambo baya kusalia vila kwn villa hawana huwezo wa kutwaa Taj lolote ndani au nje ya uingereza jack ilikuwah nafas pekee ya kutafut timu ilikutengeneza record kwny soka na mafanikio
Rose kapinga
Kazi nzuri
Rehema
Bonge la makala
Amiri Kayera
Jambo zur
Sabrina
Safi sana kaka kwa kuongeza mkataba
Saupha mohamed
Jambo zuli safi
Adelta
Very good @meridianbettz
Khadija
hongera kijana chapa kazi#meridianbettz
Theckla
Kuna wachezaji wanashindwa kusoma alama za nyakati cjui wanakwama wapi
Mwajumah
Safii hongera yake
Sauda
Kila la kheri Grealish
Shani
Big up!
Mwanahamisi
Jambo zuri sana
Elika
Safi sana na hongera kwake
Fatina mfigi
Nice
Caroline
Safi sana
Angelina
Goodnews
Samira
Habari njema kwa wapenzi wa Aston villa
Janeflora malisa
Nice
Saupha mohamed
Hongera yake
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Ester jackson
Hongera yake
felister
Jambo zuri
David Pere
Aston villa wameona humuimu wa jack na ndio maana wamemuengezea mkataba kwa nafasi nyengine aliyo pewa jack tunategemea kuona mengi makubwa clabuni hapo