Jake Paul: Fury Ananiomba Nipigane na Ndugu Yake Tommy

Jake Paul amesema kwamba Tyson Fury anamuomba kwenye media za kijamii kupigana na mdogo wake Tommy Fury siku ya Alhamisi kuwa ni “Aibu” kwa mpiganaji wa uzito mkubwa kufanya vitu kama hivyo.

Jake Paul: Fury Ananiomba Nipigane na Ndugu Yake Tommy

Tyson amekuwa na bidii ya kumuhamasisha Jake kupigana na Tommy, lakini hakuna nafasi ya hilo jambo kutokea. Tommy siyo maarufukwa upande wa UK.

Nafasi yoyote ambayo Tommy alikuwa nayo ya kupigana, Jake aliitolea nje wakati promota wake alisambaza wazo la pambano lililofanywa na mgawanyiko wa 50-50. Jake anasema Tommy anapigania $ 100,000, na lazima apande “ngazi” kufika mahali alipo kama yeye.

Jake Paul ambaye hajapigwa cruiserweight (3-0, 3 KOs) anasema kwamba Tommy Fury (5-0, 4 KOs) anahitaji kuzingatia mapambano yake yanayokuja dhidi ya mpinzani wake Juni 5.

Jake anasema anamfanyia upendeleo mkubwa Tommy mwenye umri wa miaka 22 kwa kumtaja yeye na mapambano yake vifuatavyo tarehe 5 Juni.

Tommy hivi karibuni aliingia kwenye media ya kijamii, akisema kwamba alikuwa huko Miami, Florida, akimtafuta kila mahali Jake Paul. Hata hivyo, Jake alisema leo kwamba Tommy anajua kabisa kwamba anaishi Puerto Rico, na hatampata huko Miami.

“Bingwa wa Dunia wa uzani mkubwa Tyson Fury anaongelea kuhusu Jake Paul, akiniomba nipigane mdogo wake.

“Sikiliza Tommy zingatia mapambano yako hakuna mtu ambaye anajua lakini hii clip ni promosheni kubwa katika mapamabno yako yote alisema Jake Paul.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

3 Komentara

    Duh mbona balaa

    Jibu

    Atari san

    Jibu

    Lazima apigwe mtu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.