James Rodriguez Kurejea Dimbani April 3

James Rodriguez amepanga tarehe ya kurejea dimbani huko Everton na Kiungo mchezeshaji huyo wa Colombia amejikuta akikosa mechi tano za Toffees kutokana na majeraha.

Muamerika wa Kusini huyo alicheza katika kikosi cha Carlo Ancelotti mara ya mwisho katika mchezo wa debi mwezi Februari 20 dhidi ya Liverpool.

Alikuwa akisumbuliwa na jeraha dogo lakini James hajaonekana tangu anaaze kukabiliana na tatizo hilo.

Aliulizwa na Caracol ni lini anatarajia kurejea katika kikosi cha Everton, James alisema: “nitacheza tena katika mchezo wa April 3 nadhani.”

“Nipo vizuri namshukuru Mungu na ninataka kucheza tena.

The Toffees nakumbukumbu ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool katika mchezo ambao James alikamilisha dakika 62 kwenye mechi hiyo.

Walipata ushindi pia kwenye mchezo uliyofuata katika Premier League dhidi ya Southampton na West Brown ambayo iliwapa tumaini la kushiriki katika michuano ya Ulaya huko Goodison Park.

Everton ilipoteza alama kwenye mchezo dhidi ya Chelsea na Burnley katika ligi ya nchini Uingereza wakati pia wakiondolewa kwenye michuano ya FA Cup.

Everton watarejea dimbani baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa ambapo watawaongoza Crystal Palace April 5.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

8 Komentara

    Majeraha yamekuwa changamoto kwa wachezaji wengi

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Itakuwa poa sana

    Jibu

    Itakuwa fresh

    Jibu

    Afadhal

    Jibu

    Safi sana James

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe