Je Ansu Fati Alitosha Kukabidhiwa Jezi Namba 10?

Ansu Fati kinda anayetabiriwa kufanya makubwa ndani ya ulimwengu wa soka sasa ameirithi jezi namba 10 ndani ya Barcelona na baba wa mchezaji huyo alikwenda katika maduka kununua jezi nyingi za mtoto wake.

Je Ansu Fati Alitosha Kukabidhiwa Jezi Namba 10?

Lakini swali lililopo sasa, Je mchezaji huyo alipaswa kupewa namba hiyo? Ansu Fati ameonesha vya kutosha mpaka akabidhiwe namba 10? na amerejea baada ya kuwa nje ya dimba kwa takribani miezi 10 sababu ya majeraha. Fomu atakayokuwa nayo sasa ni ngumu kuitabiri.

Subra inahitajika kwa Ansu Fati Ronald Koeman tayari amsema sana kuelekea kurejea kwa mchezaji huyo. Watachukua mambo taratibu bila kumsumbua wala kumuhatarisha na majeraha tena.

Je Ansu Fati Alitosha Kukabidhiwa Jezi Namba 10?

Barcelona wasinge harakisha kumpa Fati Namba 10 ikiwa matokeo yake yapo wazi. Wachezaji wa mwisho kuvaa jezi namba 10 huko Campa Nou  walikuwa ni Lionel Messi, Ronaldinho, Juan Roman Riquelme na Rivaldo. Ansu Fati hayupo katika kiwango cha kucheza kama wachezaji hao bado anasafari ndefu ya kwenda.

Barcelona ipo katika hali ya kuatafuta tumaini baada ya wachezaji walikuwa wakiisadia timu kwa ukubwa kuondoka klabu hapo, wachezaji hao wakiwa  ni Luis Suarez, Antoine Greizmann na Messi. Je Fati ataweza kufuata nyayo za Lionel Messi?


BADILI KILA KITU KWA SARAFU MOJA TU!

Unaweza kutengeneza faida kubwa huku ukiwa unaifurahia safari kabambe ya wacheza sarakasi kupitia sloti mpya ya Circus Fever Delux kupitia Kasino ya Meridianbet pekee Dau lako linaweza kukupa pesa maradufu kupitia kete au sarafu.

Uingereza, Sancho Aondolewa Kwenye Kikosi cha Uingereza, Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe