Jose Mourinho Anaswa Akimtolea Maneno Refa Nje ya Uwanja

sevilla vs Mourinho

Kocha wa AS Roma Jose Mourinho alikabiliana na mwamuzi wa Uingereza Anthony Taylor kwenye maegesho ya magari baada ya mechi kuisha na Roma kufungwa katika fainali ya Ligi ya Europa dhidi ya Sevilla. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Clip za video zimeibuka zikimuonesha Mourinho akimrushia maneno Taylor kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa Puskas Arena mjini Budapest. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

 

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 60 alikasirishwa na hasira wakati wote wa mechi hiyo, ambayo ilishuhudia Roma wakifungwa penati 4-1 baada ya sare ya 1-1. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Ilihitimisha rekodi kamili ya Mourinho katika fainali za Uropa na hakuwa tayari kuvumilia vitendo vya mwamuzi huyo, kufuatia mchezo huo kwani alinaswa akimtaja TaylorΒ  katika maegesho ya magari. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.