Roy Keane anataka kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone kuwa kocha mkuu ajaye wa Manchester United.

Keane Apendekeza Man United Wampe Kazi Simeone

Mchezaji huyo wa zamani wa Red Devils ambaye ana umri wa miaka 50 aliweka wazi hisia zake kwa kocha ambaye anaona anafaa kuwa na majukumu ya kuinoa timu hiyo aliongea hayo kwenye tukio la The Overlap Live huko Manchester Apollo.

“Labda Simeone, anasifa zinazofaa,” Keane alisema. “Simeone, ni mhusika mkuu. Amefanya mambo makubwa. Ni mhusika mkuu, mtu mkubwa. Hajisumbui na wachezaji. Labda mtu kama yeye akija kwenye klabu anaweza kufanya kazi.

Man United wanapambana kuwa katika kiwango chao kwa muda mrefu baada ya Sir Alex Ferguson kustaafu kwani mpaka sasa wameshindwa kumpata mbadala wake sahihi.

Manchester United wanajiandaa kukabiliana na mahasimu wao Manchester City siku ya Jumapili baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Watford wikendi iliyopita.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa