Jurgen Klopp hatarajii kuongeza wachezaji katika dirisha la mwezi Januari kwa upande wa timu ya Liverool.

Klopp Hatarajii Kusaini Mchezaji Dirisha la Januari.

Mabingwa watetezi wa Premier League wamendelea kuwa katika uvumi wa kutaka kusajili beki hali yakuwa fomu yao imeshuka na mlinzi Virgil van Dijk na Joe Gomez bado wanapitia kuuguza majeraha.

Lakini, alipoulizwa kama anatarajia chochote kufanya mabadiliko kabla dirisha la usajili la Januari halifungwa mwezi Februari 1, Meneja wa Liverpool Klopp aliongea na waandishi:“Hapana sina hakika.

“Nisingependa kusema kwamba ni asilimia mia hapana, lakini sitarajii chochote kutokea kusema kweli.”

Kuelekea mchezo dhidi ya Tottenham siku ya Alhamisi, Liverpool wanakumbukumbu ya kutoshinda katika michezo mitano ya Premier League na wamekaa katika nafasi ya sita kwenye jedwali alama saba nyuma ya Manchester City.

Klopp amesema angependa kuendelea na kikosi chake kuendelea kusukuma ili kubadili muenendo wa timu msimu huu na ana amini kuwa wanauwezo huo.

“Tutapambana, tunapammbana na hali iliyopo tutapambana sana kwenye mechi dhidi ya Tottenham, hicho ndiyo kitu tuntakiwa kukifanya kwa sasa tutaona tutapata nini.


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa