Kaka za mshambuliaji wa Real Madrid Eden Hazard, Kylian amesema kwamba mchezaji huyo hana mpango wowote wa kutaka kuondoka klabuni hapo amesisitiza kwamba anataka kujidhihirisha yeye mwenyewe.

Hatima ya Eden Hazard huko Bernabeu ipo katika mjadala na huenda Klabu ikaamua kumuuza wakati wa dirisha la majira kiangazi na taarifa za hivi majuzi zilidai Arsenal wapo tayari kumnasa mchezaji huyo.

“Eden Hazard hatoondoka Madrid mpaka atakapo jionyesha kwamba yupo imara,” Kylian aliaambia RTL.

“Ameonyesha kwenye klabu ambayo anaichezea na kwa maoni yangu hana mpango wa kuondoka. Siamini kama ataondoka.”

“Kama rais Florentino Perez atamtaka aondoka basi hatoweza kucheza hapo sidhani kama ataendelea kusalia.

“Lakini naweza kuwa hakikishia kwamba atafanya kila linalowezekana kuonyesha kwamba yeye ni mchezaji bora wa Real Madrid.”


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa