Shabiki kindaki ndaki wa Liverpool James LeBron ametabiri klabu ya Liverpool kushinda taji la Ligi ya Mabingwa mbele ya Mabingwa wa kihistoria Real Madrid mnamo Mei 28.

Kutokana na ubora walionao The Reds LeBrons ametabiri Liver itainyuka Los Blancos ushindi wa mabao 4-3 katika fainali inayozikutanisha timu ya Laliga na Premier League.

Timu ya Jurgen Klopp tayari wameshinda mataji mawili msimu huu ambayo ni Carabao Cup na FA Cup lakini bado wapo kwenye kinyang’anyiro cha mataji mawili ambayo ni EPL, na Ligi ya Mabingwa.

Nyota wa mpira wa kikapu James LeBron ambaye aliwekeza katikia hisa za Liverpool mwaka 2011 aliulizwa utabiri wake kwenye fainali ya UCL kupitia mtandao wa Twitter Q&A alijibu “Sisi 4-3 (YWNWA) YOU WILL NEVER WALK ALONE.” alijibu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa