Kinda wa klabu ya Chelsea Lewis Hall alicheza mchezo wake wa kwanza kwa timu ya wakubwa na kutajwa nyota wa mchezo amendeleza ubora wake huo na kuendelea kuaminiwa na Tuchel kwenye kikosi cha kwanza.

Lewis Hall Kinda wa Chelsea Aliyemkosha Tuchel

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 alikua mchezaji wa tisa mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuiwakilisha Chelsea, na kijana wao mdogo zaidi kuwahi kucheza Kombe la FA, baada ya kutajwa kwenye kikosi cha kwanza, na hakukatisha tamaa, alitoa pasi ya mabao katika mechi zote kiwango chake kilichomwezesha kupata tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mechi.

“Tangu nilipokuwa mtoto hapa Chelsea, hili ndilo nililofanyia kazi,” Hall aliiambia BBC Sport baada ya mechi. “Hatimaye kupata fursa, na mbele ya familia yangu na mashabiki wa ajabu, ni hisia ya ajabu.

“Alistahili kucheza,” Tuchel alisema baada ya mechi ya kwanza ya Hall. “Ni mtu mzuri na mtulivu sana.

“Ubora alioonyesha katika mazoezi ulikuwa shwari sana, na alikuwa mzuri sana katika michezo yetu ya kumiliki mpira na michezo midogo aliyojifunzia.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa