Lille wameonesha hamu yao ya kuutaka ubingwa wa Ligue 1 baada ya kuicharaza 3-0 Lens siku ya Ijumaa Usiku.
Matokeo hayo yamefanya Lille ifikishe ushindi wa tano katika michezo sita na kuongeza gepu la alama 4 mbele ya Parais Saint-Germain ingawa upande huo wa Pochettino unaweza kupunguza pengo la alama 3 kama wakishinda mchezo wao dhidi ya Rennes siku ya Jumapili.
Burak Yilmaz alianza kuifungia Lille dakika ya 4 ya mchezo kwa mkwaju wa penati baada ya Jonathan Bamba kuchezea madhambi na Seko Fofana.
Clement Michelin alipokea kadi ya pili ya njano kwa viongozi dakika ya 35 na alifunga bao la pili dakika tano baadaye baada ya kupiga shuti kali kutoka yadi 25.
Jonathan David aliongeza goli la 3 na kukamilisha ushidi wa 3-0 na kufikisha jumla ya alama 79 baada ya kucheza mechi 36 wakati PSG wakiwa nyuma yao kwa lama 75 katika michezo 35.
TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO
Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!
PSG wanawakat mgum kutetea taji lao
Pole yao psg
Wana kazi ngumu
Safi sana
PSG wana kibarua kigumu
Wana kibarua kizito
Safii
Good