Mbio za ubingwa wa Premier League zinaendelea na ni kama Liverpool na Manchester City ndiyo wanaonekana kua kwenye nafasi za kushinda taji hilo baada ya klabu hizo kupishana kwa alama moja pekee baada ya michezo 29.
Baada ya Liverpool kuibomoa Arsenal kwa bao 2-0 siku ya Juamtano imefanya kukusanya jumla ya alama 69 nyuma ya City ambao wana alama 70 kwa lugha nyingine tunaweza kusema wameanza upya mbio za ubingwa ikiwa imesalia michezo 9 pekee msimu kuisha.
Jurgen Klopp na vijana wake watasafiri mpaka jiji la Manchester Aprili 10 kuwakabili City mchezo unao tizamiwa kama wa kuamua nani atanyanyua ndoo msimu huu. Lakini kabla ya wabebe hao wa EPL hawajakutana Liverpool atakua na kibarua kigumu dhidi ya Watford wakati Man City wao watawakabili Burnley tarehe 2 mwezi ujao.
Nani ataibuka bingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu? wakati wao wanapambana kuondoka na ubingwa wewe pia unaweza kuondoka na ushindi kila siku kwa kubashiri mechi kibao ndani www.meridianbet.co.tz ukiwa mahali popote Tanzania.
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.