Liverpool na Manchester City Wagawana Pointi

Wiki ya saba kunako Premier League imekamilika kwa michezo kadhaa siku ya Jumapili ambapo mchezo wa mwisho ulikuwa kati ya Liverpool walikuwa katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Manchester City.

Mchezo ulimalizika kwa sare ya 2-2 City akiwa na kazi ya kusawazisha baada ya Sadio Mane kufunga goli la kwanza kunako dakika ya 59 kabla ya Phil Foden kusawazisha dakika 10 baadaye huku bao la pili kwa upande wa Liverpool likiwekwa kimiani na Mohamed Salah dakika ya 76 wakati Kevin De Bruyne akiokoa jahazi la Man City dakika ya 81.

Liverpool sasa wameshuka mpaka nafasi ya pili nyuma ya Chelsea wakiwa na alama 15 baada ya michezo saba wakati Manchester City wakiwa na alama 14 wapo katika nafasi ya 3.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe